Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,943
Waliokufa mpaka sasa wamefikia 16.Hamas sio waliomo ndani ya hizo meli.Wale ni watu wenye huruma na binadamu wenzao kutoka mataifa mbali mbali duniani.Sio wenye fikra za kinyama kama za kwako na hao Wana wa Israel bandia.hawa Hamas na ndugu zao wanapenda tu kuwachokonoa wana wa izrael;
Waliokufa mpaka sasa wamefikia 16.Hamas sio waliomo ndani ya hizo meli.Wale ni watu wenye huruma na binadamu wenzao kutoka mataifa mbali mbali duniani.Sio wenye fikra za kinyama kama za kwako na hao Wana wa Israel bandia.
kwani maana ya blockade ni nini? si kwamba hautakiwi kufanya hivyo walivyokuwa wanafanya, sasa israel wangefanya nini zaidi ya kuwalipua? wa kuwalaumu ni hao wenye kiburi. hapo ndo unaona kiburi cha waarabu waziwazi...wanaichokoza tu israel ili wapate pa kuwashitaki.washindwe na walegee.
Re: Reports: Israeli ships attack aid flotilla
ripoti inasema pamoja na mengineyo.
"The White House issued a cautious reaction, saying "The United States deeply regrets the loss of life and injuries sustained, and is currently working to understand the circumstances surrounding this tragedy."
JE TUSEME HUKO NDIKO KUTOEGEMEA UPANDE WOWOTE (IMPARTIALITY) WANAOUHUBIRI HAO WABABE WA DUNIA?
we ulitaka waegemee upande gani, wapalestina wana kiburi, wanajua kabisa kuna blockade wenyewe wameenda kwa kujitoa muhanga wakijua kabisa kitakachotokea, na walikuwa wanategemea reaction kama hiyo toka kwa israel ili wapate pa kusemea...kwanini walivunja blockade? israel walikuwa na haki kabisa ya kuwalipua tena wako ndani ya international humanitarian law/law of the war....kama wanaona kuna kosa, wapeleke issue kama ICC through nchi yoyote ya kiarabu au wamshinikize prosecutor afanye uchunguzi ili awafungulie kesi....ambayo watashindwa hata hivyo.
Islael walitaka kuwatisha hawa jamaa wasalimu amri, ila kwa kuwa walikuwa katika international water, Islael haikuwa na sababu ya kuwavamia kuanza kupiga risasi za moto baada ya kuona wanapigwa marungu kama walivyosema wao. walitakiwa kukaa pwani kuendeleza hiyo blockade yao ili meli isitie nanga.
sasa everything went wrong ndiyo wanatafuta sababu za kuhalalisha unyama wao, yaani kama polisi wa kibongo wakiua raia mwema wanaanza sema ni jambazi. Kati ya waliouwawa hakuna Mpalestina hata mmoja wote ni wasamalia wema na wengine si waislamu. Unajua Mambo kama haya yanaifanya Islael kuwa katika wakati mgumu kidplomasia maana hata watetezi wao wanaona aibu kwa vitendo vya kinyama vinavyofanywa na hawa jamaa.
gud job. waliyataka wenyewe hayo...waache kuisumbua israel, no one else to blame but themselves..