burahanthu
Senior Member
- Apr 21, 2012
- 143
- 38
Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
..hakuna bank nayoichukia kama CRDBLeo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Tz haieleweki. Ardhi ni mali ya raisiMkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
Tz haieleweki. Ardhi ni mali ya raisi
3500 x 205 kwa Leo =717500Ungeuza leo mkuu ungepata laki saba tu. 3500 × 200 =700,000
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Hahahhaahahahahah. Unatafuta Bar wenye Warembo wazuri[emoji23]Aliyekwambia hisa ni asset nani? huna elimu juu ya umiliki wa hisa, huwezi kununua hisa ili kupata gawio, hisa ni kama bidhaa unaangalia asubuhi wapi inapatikana kwa bei ya chini, unanunua mchana ikipanda unauza unahesabu balance iliyobaki, unatafuta bar yenye warembo wazuri unatulia kusubiri siku nyingine. Hiyo ndi biashara ya hisa.
Hii nzuri lakini inahitaji elimu zaidiWakuuu mi sio mchumi kielimu ila kulingana na changamoto nimejukuta ninanunua na kuuza hisa mwanzo ilibipa changamoto sana yaani mwendo wa loss tu.. ila nikajifunza na saa naona ina maana, hisa inataka uwe mfuatiliaji, mvumilivu na kuwa muamuzi ila maamuzi yenye mashiko, nilikua nikiweka dolari 200 kama mtaji kwa hofu italiwa na kweli ilikua inaliwa kwa kuwa sikua najua..in short unaweza tengeneza hela 100% faida ama zaidi with days... utakuza mtaji ila pia kumbukeni kuna masharti ya kuwithdraw faida uliyoipata si kiwa unaweza with draw dola 1000 ulizotengeneza ndani ya wiki moja zote kwa mkupuo.. kwa sasa sijathubutu kabisa kuangalia hisa za hapa nyumbani za mbele kwa walio endelea safi kabusa
Yaani biashara ya hisa uwe na milioni kadhaa ndo utafaidika