Gavana Ole Lenku na viongozi wa Kimaasai walaani tamko la rais Magufuli

What drives the likes of Geza ulole and some of his lowlife minions to hate Kenya and sheer jealousy is mysterious, but for the past 10+ years Kenya has a Superhighway and a functioning 500km SGR to show.
For 10 years Tanzania has a 500m bridge and a BRT and now I can understand the bile and vile coming from some dimwits from the south. Geza ulole and your in bed partners put your country's isht together, hating Kenya will never be part of a solution to your own menacing economic development.
Don't forget that Tanzania's economy grows at 7% , that of Kenya goes at 5%, tourism earnings is $2.2B for Tanzania, only $800M for Kenya, manufacturing sector is growing faster in Tanzania, that of Kenya is slowing down, Tanzania is building faster, modern, high speed and high capacity SGR, from its money so far, while Kenya can't manage to pay for even 10km of old, diesel, slower rail.
By the way, why do you want to force love from Tanzania, if you think Tanzanians do hate Kenya, so what. Unless you are losing something, but that should not pain you.
 
Tunajitengenezea mazingira ya kupotea kwa amani na mengine mengi. Diplomasia inapungua sana. Tunapo ongelea watu wa mipakani tukumbuke kwa asilimia kubwa wake ni ndugu haswa kwa utamaduni lugha na kabila. Sasa kusema kama ivyo kunawezekana kuwatenganisha mahusiano yao.
Hatuwezi tukakubali upuuzi km huu kwa kisingizio cha diplomasia,hatuwezi,hatuwezi kila mtu atumie ardhi yake kulisha mifugo na kulima na kujakufanya hayo mambo kienyeji kienyeji tu eti kisa dipolomasia.
 
I can only see lack of diplomacy skills, it's an issue which was supposed to be solved by co- ministers not even minister of foreign affairs.
 
Mvua imenyesha kwa wingi Kajiado county. Nyasi zao wazikaange wale nazo sima. Tupatane tena kiangazi kikirudi. Kwani JPM ndo alipanda nyasi hizo?
 
Kwa hiyo ili kuwatia adabu ni kutaifisha mifugo yao...!!??
Maharagwe ana roho mbaya kama ya shetani!!
Huo ndiyo utaratibu wa kisheria,hakuna roho mbaya hapo Ila km una huruma nao Sana hadi roho imekuuma kwakua wewe una roho nzuri sana kawatafutie se hemu ya kuchungia tofauti na ardhi ya Tanzania.Wao si wana ardhi km sisi Kwanini wasichungie hukohuko?Hata sisi pia tuna mifugo hayo malisho ni kwa ajili ya mifugo yetu na si vinginevyo.
 
******** ni raisi kilaza tuu
Nimeipenda hii hawa nyoko wanapenda fyokofyoko sana! Imagine The Star inaandika "Magufuli torched chicks from Kenya"! Wanachotafuta watakipata tena walivyo divided sasa wasitafute ugomvi
 
Watanzania wenzangu sasa mpate picha kwamba ni namna gani wakenya walikua wanaitafuna Tanzania, ukiona huu mpayuko wa style hii nonstop ujue maslahi manono yameguswa.

Wakenya walikua wanaingiza mifugo mpaka Morogoro, Tanga wao ndio waasisi wa migogoro Loliondo na Kiteto kwenye chaka la umaasai ni ngumu kutofautisha yupi wa Kenya na yupi wa Tanzania sasa baada ya kuvaliwa njuga na Magufuli kuagiza ng'ombe wote wa Tanzania wapigwe chapa sasa wametaharuki..

Tanzania lilikua ni shamba la Kenya zile taarifa za kuwapo trekta zaidi ya 200 kule Loliondo kwa mtanzania yeyote mwenye akili ilikua ni ishara tosha ya kuelewa sasa Tanzania ni Kenya, haiwezekani trekta 200 za nchi jirani ndani ya nchi ya kigeni

Fikilia kwa siku trekta moja inalima ekari ngapi? Piga ua sio chini ya ekari 50 sasa piga kwa uchache ekari 30 mara 200 ambapo ni ekari 6000 sasa kwa siku wanavuruga maelfu ya ekari kwenye msimu si wanatafuna mkoa mzima? Tena eneo lenyewe ni lenye migogoro sugu.

Hapana hii halikubaliki hata kidogo makabila yaliyopo Tanzania na nchi jirani sio Maasai peke yao yapo zaidi ya 15 kila kabila likisema linataka hii huruma hiyo sio Tanzania tena.

Kwanza huyu gavana kuongea kihuni sana kwa Rais wetu huwezi kumtukana Rais wetu mtukufu wakati Anasimamia katiba ya Jamhuri sababu maamuzi yote ni kwa mujibu wa sheria ndio mana yameamuliwa na mahakama na wala sio agizo la office yoyote.

Angejua saivi tumeshaikamata mifugo mingine 6000+ na inataifishwa muda wowote angenyamaza kimya na ajue Tanzania aliyokua ameizoea sio hii tatizo kubwa hawa majirani zetu wamekua wakiidharau Tanzania sana na watanzania ndio mana tuna furaha sana tunapoona haya.
mtafanya
 
Unaongea nini sikuelewi, mifugo yenu ilitafuna hifadhi ya Burigi mpaka wanyama wameisha Burigi mkishirikiana na nchi nyingine sasa mnataka mmepeleke msiba Serengeti?

Hivi kuna mtanzania anaechungia masai mara?
 
Itatokea fursa kubwa sana kwa wafugaji watakao fuga kisasa.
Ufugaji wa sasa hauna tija.
Hivi unajua Tanzania ni nchi ya pili kwa kuwa na mifugo wengi Afrika?
Hata hivo hatuna uzalishaji wa kutosha wa maziwa yenye ubora wa kuweza kuanzisha kiwanda cha maziwa ya unga.
Na hata maziwa ya kawaida wanaofaidika na viwanda vya maziwa ni wafugaji wa kisasa sio hao wamachinga wa ng'ombe.

Ukienda maeneo kama Muleba ,machame, Meru n.k watu wanafuga mifugo michache lakini ndio maeneo yanayouzwa maziwa na nyama nzuri kwa bei nafuu.

Wafugaji wengi hata kuchinja ng'ombe au kuuza ng'ombe ni mpaka pawe na janga linalotishia usalama wa mifugo yao vinginevyo wanafuga hao ng' ombe kwa sifa na mashindano ya kuwa na ng"ombe wengi ndio maana wanaibiana na wakati wa ukame wanabaki kuwaangalia ng"ombe mpaka wanakufa kwa maelfu bila kuuza.

Zimbabwe na Misri hawana mufugo wengi kama Tanzania lakini wana mifugo michache inayofugwa kisasa na yenye uzito mpaka tani moja na nusu. .
Huyo ni ng'ombe mkubwa karibia na nyati.

Ufugaji wa ng"ombe wengi unaleta madhara makubwa sana sana ya kimazingira mana wanazunguka wakiwa na binadamu ambaye pia anaharibu misitu kwa ajili ya makazi ya kuhama hama.
Ingekua hao ng"ombe wanazunguka wenyewe huko porini pangekua na uafadhali kidogo.

Ufugaji ukiwa wa kibiashara utaliingizia taifa fedha nyingi sana na wafugaji watabadili maisha yao kuwa bora zaidi na yenye tija kwa faida ya vizazi vijavyo.

Hebu fikiri kwa sasa wafugaji walivyowengi ikatokea ugonjwa wa kuua robo tatu ya mifugo yao huko porini watafanyaje zaidi ya kuwa omba omba mitaani!?Hata wale walinzi wa Mageti watakosa dili mana wale matajiri waliokua wanaajiri walinzi nao wameanza kuwa bahili.

Na ulimwengu unakoelekea kila ardhi itapimwa na kila mtu atalinda eneo lake kwa namna yayote sasa bila kujiandaa mapema kwa wafugaji kusomesha sana watoto wao na kujenga makazi ya kudumu tunaweza kujikuta wananchi wetu wanapigana wenyewe kwa wanyewe kwa kutetea ardhi zao zisivamiwe na wazururaji wanaojiita wafugaji.

Wamasai ,wagogo,wasukuma, wamang"ati ,wasonjo na wakurya wapewe elimu ya kutambua umuhimu wa kumiliki ranch zao za kufuga kwa manufaa yao na sio kuvamia maeneo ya watu.
Na serikali kwa kweli isimamie zoezi la kutaifisha mifugo yote inayofugwa maeneo yasiyo rasmi.

Na ikitokea mtu amevamia eneo la mtu na kuharibu mazao pasiwe na huruma inayotokana na rushwa iwe ni mahakamani kwa sababu ushahidi uko wazi ; ni suala la kupiga ng'ombe mnada na kumlipa mkulima fidia ya mazao yake.
Maelezo yako ni sahihi kabsa lkn serikali inachofanya ni maigizo, hii haitofatiani na unaposikia viongozi wanakwambia ukimaliza shule ujiajiri au jikite jatika kilimo lakn yeye na ukoo wake wote hakuna aliyejiari au anayeshughulika na kilimo, na akiwa na familia yaje utasikia anasema kama umeshindwa kuishi mjini nitakurudisha kijijin ukalime, hii maanake nn? hii ni kwa sababu kilimo hakina faida au kilimo ni kibaya.
Hivi unadhani mwaka 1980 mpaka 1990 kuna mwana Dar alikuwa anaamuka saa 10 kwenda kazini ? bilashaka walikuwa wanaamuka saa12 na saa 2 tayar anawahi ofisin kwake au kwa biashara yake lakn leo unaweza kuamuka muda huo ukawahi? labda awe anaishi maeneo yaleyale, na je, kuna aliyelazimishwa au pigwa ili aamuke saa10 usiku kwenda kazini ? bila shaka hayupo, sasa maendeleo au mabadiriko uletwa na serikali kutoka na mipango yake then wananchi wake ubadirika kuendana na wakati.
Serikali itengeneze mazingira ya kuwavutia wafugaji wa kienyeji ili watoke huko wawe wa kisasa bila hivo utaendelea kuwa mtaji wa kisiasa milele na milele.
Kumbuka wanafunzi walikuwa hawavai viatu kwenda mashuleni serikali iliwaelimisha umuhim wa kufaa viatu na viatu vikapatikana madukani, kwa sasa kila mzazi anajua umuhim wa kumvalisha mtoto wake kiatu.Sio uwafukuze watoto shule kisa hawa viatu wakati huohuo viatu madukani hakuna sasa unataka wafanyeje??!
 
Kwahiyo Wasomali wa Mogadishu wanaruhusiwa kuingiza ngamia zao kenya huko Garrisa? Najaribu kuuliza tu nione hapo inakuwa je.
 
Ni wakati sasa jamii kama hizi za kimaasai watambuwe kuwa dunia ya leo imewekwa mipaka, na wao itabidi wachaguwe ni nchi gani wanataka kuendeleza maisha yao. Haiwezekani wengine wote tufuate sheria lakini jamii moja inakuwa juu ya sheria, wana vuka mipaka bila taarifa yoyote na kuleta usumbufu katika jamii. Hata nchi nyingine nyingi zenye jamii za kitamaduni zinaanza kujibadilisha, sio red Indian wa marekani, au Aborigines wa Australia. Jamii hizo zinaamza kukubali maendeleo ya kidunia na kuchangia maendeleo ya nchi. Wamaasai wote EA watabaki kuwa ndugu lakini lazima wajulikane wao ni wa upande gani. Simuoni huyo Ole Lenku akijiita mtanzania, au akivuka mpaka bila kufuata utaratibu, sasa kwanini mchungaji wa kimaasai yeye anavuka mipaka tena na kundi la wanyama bila kujali mazingira.
 
Kama kuna ndugu wafukuzeni pia ama mnyamaze! Msilazimishe hakuna kuchangia ardhi ya Tanzania uwe Mmasai usiwe Mmasai! Hizi chokochoko zimeanza siku nyingi sana kupitia taasisi za Nairobi, Kikwete kalea sana hili jipu! Mwacheni Magu alitumbue.
Wamejibu tamko la Magufuli ambalo alisema Tanzania sio sehemu ya kuwalisha mifugo wa nchi ya jirani na kwamba kila akikamata mifugo atakua anawatia kwenye mnada moja kwa moja, na kwamba nchi jirani wakikamata mifugo ya Tanzania wafanye watakavyo.

Gavana Ole Lenku ambaye ni Mmaasai, amesema kwamba hilo ni tamko la aibu kutoka kwa mtu mwenye hadhi ya kama rais Magufuli. Adai ndugu zao Wamaasai kutokea Tanzania wamejaa upande wa Kenya na mifugo yao.
--------------------------------------------------------------------
Mimi kwa maoni yangu, nahisi hili suala linafaa busara, hamna haja ya kulea chuki, majungu na machungu baina ya ndugu wa kabila moja. Wengi wa Watanzania watokao Tanzania kati na kwengine hawatakawia na zile kauli zao kunukuu sheria za kimataifa, lakini nina uhakika mamilioni ya Watanzania ambao wana undugu kwenye hii mipaka ya mkoloni watakua na mitazamo tofauti.

Hawa ni Watanzania kama vile Wadigo, Wamaasai, Wakurya, Wajaluo, Wahaya na hata Wanyasa n.k. ambao mzungu aliwaibukia na kuchora mpaka kati yao, mpaka usioonekana kwa macho, akawatenganisha hata ndugu wa tumbo moja na kuwapa uraia tofauti kila mmoja.

-----------------------------------------------------------------------

1665933.jpg

Kajiado governor Joseph ole Lenku during an event on August 18, 2017. /KURGAT MARINDANY

Kajiado Governor Joseph ole Lenku has castigated Tanzanian President John Pombe Magufuli's way of handling cross-border issues.

He said the East African leader's way of handling livestock which cross into the country for pasture amid biting drought in Kajiado is "shameful".

"This is indeed shameful for a leader of his stature to auction our livestock and yet we have hundreds of Tanzanian livestock grazing in our country."

"Why is he creating a wedge between our Maasai communities living in Tanzania and Kenya?" Lenku asked during an interview at his office on Tuesday.

Lenku said that while Kenya has continued to preach peace among the people living along the border, Magufuli is "busy demolishing bridges for unknown gains".

This was after Magufuli on Tuesday emphasised that his government will confiscate all livestock trespassing into the country from Kenya.

During a tour of Kagera province, he said: "Tanzania is not a livestock farm...we will take stern legal action for animals that cross into our country."

At the same time, the president advised a neigbouring country, which he did not name, to confiscate Tanzanian livestock that crosses into its territory illegally.

"We have decided to confiscate and take legal action against farmers whose livestock will trespass into our country," Magufuli said in a public rally.

The Tanzanian president's sentiments came in the wake of accusations that he has been frustrating Kenyan herders who cross over to graze their animals during drought.

Three week ago, The Star reported an incident in Arusha where Tanzanian authorities confiscated 1,305 heads of cattle and arrested ten Kenyans.

The arrested animals were auctioned before the herders were released by a court in Arusha after paying a TSh1 million fine each.

The lot was charged for being in the country without valid documents.

Lekarokia ole Nangoro, a Kenyan respected elder from Loitokitok, told the Star on Tuesday he was in Arusha when the ten Kenyans were released.

"All of them are back into the country safe. As we speak now, I am organising a fundraiser to pay off the money we were loaned to pay the court in Tanzania."

Nangoro spoke on telephone from Tarakea border town in Loitokitok.

The proceeds from the public auction of the cows belonging to the Ilkisonko Maasai from Kajiado South constituency were handed over to the Tanzanian government.

The Kenyan herders had been given an option fine of a Tsh500 million by the Arusha court but failed to raise the money and the livestock were auctioned.

One week ago, Tanzanian authorities at the Namanga border confiscated 6,400 one day-old chicken chicks valued at Tsh12 million on allegations they had bird flu.

All the chicks were burned alive in the presence of Tanzanian police.

The owner of the chicks, a Tanzanian, was arrested and detained by authorities, according to Mwananchi Newspaper.

While speaking in Kagera, Magufuli instructed all the elected leaders to educate their electorates on the need to brand all their livestock.

Lenku chides Magufuli in row over grazing areas
Tanzania siyo Kisiwa inahitaji mahusiano mazuri na majirani zake wote,hili lilihasisiwa na Baba wa Taifa na wote waliopata kuongoza Taifa hili,ni kwakuwa walijua kuwa hapa duniani ukitaka kuishi kana kwamba unajitosheleza kwa kila kitu utakwama tu....na wenye akili watakuhesabia siku zako ambazo ni chache sana...Marekani na utajiri wake woote inawahitaji majirani na washirika wake kama China,China hali kadhalika...Russia na nguvu zake anahiitaji Marekani...sembuse sisi ambao hata dawa ,mafuta na chakula tunahemea!!
sasa sisi ngoja tuendelee na kiburi chetu cha umasikini tuone kitatupeleka wapi?
 
U fucken need to pay for grazing! Who is Ole Lenku anyway? Isn't he a District Commissioner level? I praise n stand with Magufuli’s bold decision n preceeded announcement! After years of using NGOs to frustrated development n conservation around both the Serengeti n Loliondo n their peripherals, n in so doing support the destruction of our National parks, this idiot is now openly claiming Undugu! Idiots of highest order.

Tell Uhuruto to give back the Kenyan massais their ancestral land. Its a brutal truth that even Nairobi is within what was once their land that was taken away from them.
Mkuu tumia elimu/akili yako kufikiri kwa mapana zaidi ya hapo,ukihusisha historia ya kabila la wamaasai kama wafugaji wa kuhama hama!Si ajabu hata hapo ulipo kwa sasa ni mali ya wamaasai au kabila lingine linalotoka kwenye kundi la wafugaji!
 
Wamejibu tamko la Magufuli ambalo alisema Tanzania sio sehemu ya kuwalisha mifugo wa nchi ya jirani na kwamba kila akikamata mifugo atakua anawatia kwenye mnada moja kwa moja, na kwamba nchi jirani wakikamata mifugo ya Tanzania wafanye watakavyo.

Gavana Ole Lenku ambaye ni Mmaasai, amesema kwamba hilo ni tamko la aibu kutoka kwa mtu mwenye hadhi ya kama rais Magufuli. Adai ndugu zao Wamaasai kutokea Tanzania wamejaa upande wa Kenya na mifugo yao.
--------------------------------------------------------------------
Mimi kwa maoni yangu, nahisi hili suala linafaa busara, hamna haja ya kulea chuki, majungu na machungu baina ya ndugu wa kabila moja. Wengi wa Watanzania watokao Tanzania kati na kwengine hawatakawia na zile kauli zao kunukuu sheria za kimataifa, lakini nina uhakika mamilioni ya Watanzania ambao wana undugu kwenye hii mipaka ya mkoloni watakua na mitazamo tofauti.

Hawa ni Watanzania kama vile Wadigo, Wamaasai, Wakurya, Wajaluo, Wahaya na hata Wanyasa n.k. ambao mzungu aliwaibukia na kuchora mpaka kati yao, mpaka usioonekana kwa macho, akawatenganisha hata ndugu wa tumbo moja na kuwapa uraia tofauti kila mmoja.

-----------------------------------------------------------------------

1665933.jpg

Kajiado governor Joseph ole Lenku during an event on August 18, 2017. /KURGAT MARINDANY

Kajiado Governor Joseph ole Lenku has castigated Tanzanian President John Pombe Magufuli's way of handling cross-border issues.

He said the East African leader's way of handling livestock which cross into the country for pasture amid biting drought in Kajiado is "shameful".

"This is indeed shameful for a leader of his stature to auction our livestock and yet we have hundreds of Tanzanian livestock grazing in our country."

"Why is he creating a wedge between our Maasai communities living in Tanzania and Kenya?" Lenku asked during an interview at his office on Tuesday.

Lenku said that while Kenya has continued to preach peace among the people living along the border, Magufuli is "busy demolishing bridges for unknown gains".

This was after Magufuli on Tuesday emphasised that his government will confiscate all livestock trespassing into the country from Kenya.

During a tour of Kagera province, he said: "Tanzania is not a livestock farm...we will take stern legal action for animals that cross into our country."

At the same time, the president advised a neigbouring country, which he did not name, to confiscate Tanzanian livestock that crosses into its territory illegally.

"We have decided to confiscate and take legal action against farmers whose livestock will trespass into our country," Magufuli said in a public rally.

The Tanzanian president's sentiments came in the wake of accusations that he has been frustrating Kenyan herders who cross over to graze their animals during drought.

Three week ago, The Star reported an incident in Arusha where Tanzanian authorities confiscated 1,305 heads of cattle and arrested ten Kenyans.

The arrested animals were auctioned before the herders were released by a court in Arusha after paying a TSh1 million fine each.

The lot was charged for being in the country without valid documents.

Lekarokia ole Nangoro, a Kenyan respected elder from Loitokitok, told the Star on Tuesday he was in Arusha when the ten Kenyans were released.

"All of them are back into the country safe. As we speak now, I am organising a fundraiser to pay off the money we were loaned to pay the court in Tanzania."

Nangoro spoke on telephone from Tarakea border town in Loitokitok.

The proceeds from the public auction of the cows belonging to the Ilkisonko Maasai from Kajiado South constituency were handed over to the Tanzanian government.

The Kenyan herders had been given an option fine of a Tsh500 million by the Arusha court but failed to raise the money and the livestock were auctioned.

One week ago, Tanzanian authorities at the Namanga border confiscated 6,400 one day-old chicken chicks valued at Tsh12 million on allegations they had bird flu.

All the chicks were burned alive in the presence of Tanzanian police.

The owner of the chicks, a Tanzanian, was arrested and detained by authorities, according to Mwananchi Newspaper.

While speaking in Kagera, Magufuli instructed all the elected leaders to educate their electorates on the need to brand all their livestock.

Lenku chides Magufuli in row over grazing areas
***** zao
Mbona mda wote wamekuwa wakisema mt kilimanjaro iko kwao.
 
Kenyatta ameodhi ardhi yote ya kenya na kuiyatamia wananchi wake anataka waje kuchungia Tanzania, kama kweli Gavana Ole anawapenda wananchi wake angeshughulika na Uhuru kama njia ya kutatua changamoto ya malisho kwa wananchi wake
 
Huyo Ole Lenku naye ni nani kumkashifu Rais wetu tena kwa lugha kama hiyo? Si kigavana tu hicho? Ashike adabu yake!
 
Back
Top Bottom