Gavana Ole Lenku na viongozi wa Kimaasai walaani tamko la rais Magufuli

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,023
2,000
Wamejibu tamko la Magufuli ambalo alisema Tanzania sio sehemu ya kuwalisha mifugo wa nchi ya jirani na kwamba kila akikamata mifugo atakua anawatia kwenye mnada moja kwa moja, na kwamba nchi jirani wakikamata mifugo ya Tanzania wafanye watakavyo.

Gavana Ole Lenku ambaye ni Mmaasai, amesema kwamba hilo ni tamko la aibu kutoka kwa mtu mwenye hadhi ya kama rais Magufuli. Adai ndugu zao Wamaasai kutokea Tanzania wamejaa upande wa Kenya na mifugo yao.
--------------------------------------------------------------------
Mimi kwa maoni yangu, nahisi hili suala linafaa busara, hamna haja ya kulea chuki, majungu na machungu baina ya ndugu wa kabila moja. Wengi wa Watanzania watokao Tanzania kati na kwengine hawatakawia na zile kauli zao kunukuu sheria za kimataifa, lakini nina uhakika mamilioni ya Watanzania ambao wana undugu kwenye hii mipaka ya mkoloni watakua na mitazamo tofauti.

Hawa ni Watanzania kama vile Wadigo, Wamaasai, Wakurya, Wajaluo, Wahaya na hata Wanyasa n.k. ambao mzungu aliwaibukia na kuchora mpaka kati yao, mpaka usioonekana kwa macho, akawatenganisha hata ndugu wa tumbo moja na kuwapa uraia tofauti kila mmoja.

-----------------------------------------------------------------------

1665933.jpg

Kajiado governor Joseph ole Lenku during an event on August 18, 2017. /KURGAT MARINDANY

Kajiado Governor Joseph ole Lenku has castigated Tanzanian President John Pombe Magufuli's way of handling cross-border issues.

He said the East African leader's way of handling livestock which cross into the country for pasture amid biting drought in Kajiado is "shameful".

"This is indeed shameful for a leader of his stature to auction our livestock and yet we have hundreds of Tanzanian livestock grazing in our country."

"Why is he creating a wedge between our Maasai communities living in Tanzania and Kenya?" Lenku asked during an interview at his office on Tuesday.

Lenku said that while Kenya has continued to preach peace among the people living along the border, Magufuli is "busy demolishing bridges for unknown gains".

This was after Magufuli on Tuesday emphasised that his government will confiscate all livestock trespassing into the country from Kenya.

During a tour of Kagera province, he said: "Tanzania is not a livestock farm...we will take stern legal action for animals that cross into our country."

At the same time, the president advised a neigbouring country, which he did not name, to confiscate Tanzanian livestock that crosses into its territory illegally.

"We have decided to confiscate and take legal action against farmers whose livestock will trespass into our country," Magufuli said in a public rally.

The Tanzanian president's sentiments came in the wake of accusations that he has been frustrating Kenyan herders who cross over to graze their animals during drought.

Three week ago, The Star reported an incident in Arusha where Tanzanian authorities confiscated 1,305 heads of cattle and arrested ten Kenyans.

The arrested animals were auctioned before the herders were released by a court in Arusha after paying a TSh1 million fine each.

The lot was charged for being in the country without valid documents.

Lekarokia ole Nangoro, a Kenyan respected elder from Loitokitok, told the Star on Tuesday he was in Arusha when the ten Kenyans were released.

"All of them are back into the country safe. As we speak now, I am organising a fundraiser to pay off the money we were loaned to pay the court in Tanzania."

Nangoro spoke on telephone from Tarakea border town in Loitokitok.

The proceeds from the public auction of the cows belonging to the Ilkisonko Maasai from Kajiado South constituency were handed over to the Tanzanian government.

The Kenyan herders had been given an option fine of a Tsh500 million by the Arusha court but failed to raise the money and the livestock were auctioned.

One week ago, Tanzanian authorities at the Namanga border confiscated 6,400 one day-old chicken chicks valued at Tsh12 million on allegations they had bird flu.

All the chicks were burned alive in the presence of Tanzanian police.

The owner of the chicks, a Tanzanian, was arrested and detained by authorities, according to Mwananchi Newspaper.

While speaking in Kagera, Magufuli instructed all the elected leaders to educate their electorates on the need to brand all their livestock.

Lenku chides Magufuli in row over grazing areas
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,601
2,000
U fucken need to pay for grazing! Who is Ole Lenku anyway? Isn't he a District Commissioner level? I praise n stand with Magufuli’s bold decision n preceeded announcement! After years of using NGOs to frustrated development n conservation around both the Serengeti n Loliondo n their peripherals, n in so doing support the destruction of our National parks, this idiot is now openly claiming Undugu! Idiots of highest order.

Tell Uhuruto to give back the Kenyan massais their ancestral land. Its a brutal truth that even Nairobi is within what was once their land that was taken away from them.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,601
2,000
Wamejibu tamko la Magufuli ambalo alisema Tanzania sio sehemu ya kuwalisha mifugo wa nchi ya jirani na kwamba kila akikamata mifugo atakua anawatia kwenye mnada moja kwa moja, na kwamba nchi jirani wakikamata mifugo ya Tanzania wafanye watakavyo.

Gavana Ole Lenku ambaye ni Mmaasai, amesema kwamba hilo ni tamko la aibu kutoka kwa mtu mwenye hadhi ya kama rais Magufuli. Adai ndugu zao Wamaasai kutokea Tanzania wamejaa upande wa Kenya na mifugo yao.
--------------------------------------------------------------------
Mimi kwa maoni yangu, nahisi hili suala linafaa busara, hamna haja ya kulea chuki, majungu na machungu baina ya ndugu wa kabila moja. Wengi wa Watanzania watokao Tanzania kati na kwengine hawatakawia na zile kauli zao kunukuu sheria za kimataifa, lakini nina uhakika mamilioni ya Watanzania ambao wana undugu kwenye hii mipaka ya mkoloni watakua na mitazamo tofauti.

Hawa ni Watanzania kama vile Wadigo, Wamaasai, Wakurya, Wajaluo, Wahaya na hata Wanyasa n.k. ambao mzungu aliwaibukia na kuchora mpaka kati yao, mpaka usioonekana kwa macho, akawatenganisha hata ndugu wa tumbo moja na kuwapa uraia tofauti kila mmoja.

-----------------------------------------------------------------------

1665933.jpg

Kajiado governor Joseph ole Lenku during an event on August 18, 2017. /KURGAT MARINDANY

Kajiado Governor Joseph ole Lenku has castigated Tanzanian President John Pombe Magufuli's way of handling cross-border issues.

He said the East African leader's way of handling livestock which cross into the country for pasture amid biting drought in Kajiado is "shameful".

"This is indeed shameful for a leader of his stature to auction our livestock and yet we have hundreds of Tanzanian livestock grazing in our country."

"Why is he creating a wedge between our Maasai communities living in Tanzania and Kenya?" Lenku asked during an interview at his office on Tuesday.

Lenku said that while Kenya has continued to preach peace among the people living along the border, Magufuli is "busy demolishing bridges for unknown gains".

This was after Magufuli on Tuesday emphasised that his government will confiscate all livestock trespassing into the country from Kenya.

During a tour of Kagera province, he said: "Tanzania is not a livestock farm...we will take stern legal action for animals that cross into our country."

At the same time, the president advised a neigbouring country, which he did not name, to confiscate Tanzanian livestock that crosses into its territory illegally.

"We have decided to confiscate and take legal action against farmers whose livestock will trespass into our country," Magufuli said in a public rally.

The Tanzanian president's sentiments came in the wake of accusations that he has been frustrating Kenyan herders who cross over to graze their animals during drought.

Three week ago, The Star reported an incident in Arusha where Tanzanian authorities confiscated 1,305 heads of cattle and arrested ten Kenyans.

The arrested animals were auctioned before the herders were released by a court in Arusha after paying a TSh1 million fine each.

The lot was charged for being in the country without valid documents.

Lekarokia ole Nangoro, a Kenyan respected elder from Loitokitok, told the Star on Tuesday he was in Arusha when the ten Kenyans were released.

"All of them are back into the country safe. As we speak now, I am organising a fundraiser to pay off the money we were loaned to pay the court in Tanzania."

Nangoro spoke on telephone from Tarakea border town in Loitokitok.

The proceeds from the public auction of the cows belonging to the Ilkisonko Maasai from Kajiado South constituency were handed over to the Tanzanian government.

The Kenyan herders had been given an option fine of a Tsh500 million by the Arusha court but failed to raise the money and the livestock were auctioned.

One week ago, Tanzanian authorities at the Namanga border confiscated 6,400 one day-old chicken chicks valued at Tsh12 million on allegations they had bird flu.

All the chicks were burned alive in the presence of Tanzanian police.

The owner of the chicks, a Tanzanian, was arrested and detained by authorities, according to Mwananchi Newspaper.

While speaking in Kagera, Magufuli instructed all the elected leaders to educate their electorates on the need to brand all their livestock.

Lenku chides Magufuli in row over grazing areas
Kama kuna ndugu wafukuzeni pia ama mnyamaze! Msilazimishe hakuna kuchangia ardhi ya Tanzania uwe Mmasai usiwe Mmasai! Hizi chokochoko zimeanza siku nyingi sana kupitia taasisi za Nairobi, Kikwete kalea sana hili jipu! Mwacheni Magu alitumbue.
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
6,119
2,000
Tatizo wamasai wanaishi kama watu wa kale. Utakuta wanalisha kwenye mashamba ya watu/wakulima bila kujali. Hiyo tabia ya kuvuka kama vile hakuna taratibu ni sehemu ya wao kutofahamu dunia ya kistaarabu inayowazunguka.

Hilo ni funzo kwao. Mmasai wa Kenya atabaki kuwa Mkenya na haki zote za uraia wa Kenya na vivyo hivyo kwa mmasai wa TZ
 
Oii

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
3,765
2,000
Hawa wakiachiwa wataingiza ng'ombe zao hadi morogoro.
Lazima sheria zifuatwe, masuala ya mipaka kuwekwa na wakoloni ndio imeshawekwa hivyo, hata kule kwao kuna mipaka na sheria zao lazima zifuatwe.
Mimi navoona wanalipigia kele ndio nagundua kumbe ilikuwa ni tatizo kubwa.
Huko kwao wanapiga risasi ng'ombe zikiingia kwenye mashamba alafu wanataka wavuke border kirahisi for grazing. Haiwezekani
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,601
2,000
Mpuuzi sana huyo gavana anasema ni aibu kwa raisi kuzungumza vile that's so disrespectful. Raisi aendelee kuwaonyoosha these arrogant fools
Wapumbavu sana katika mpaka Kenya ina amani na majirani zake ni huu tu ndio uliobaki. Sasa wamejaribu tour vans tumewakatalia sasa wanajaribu kuingia na gia ya ukabila yaani Umasai na tena Lowassa alivyojirahisisha kwa Uhuru basi wanapata kichwa. Magufuli amalize zoezi la kuweka namba mifugo yetu haraka iwezekanavyo.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,328
2,000
Wakenya wajue wazi kwamba, katika nchi tulizopakana nazo, Msumbiji inatangulia kuwa ndugu wa karibu na Tanzania ikifuatiwa na Uganda na Zambia, huko tulimwaga damu za watanzania, hao ni ndugu zetu wa damu, pamoja na kumwaga damu Msumbiji lakini watanzania walifukuzwa kinyama kwa kufanya kazi bila kufuata sheria, Magufuli aliwakana na kusisitiza umuhimu wa kufuata sheria, huu udugu wa Kenya na Tanzania ambao Kenya wanauzungumzia kila mara ulianza lini?, Kenya na Tanzania ni majirani tu lakini sio ndugu kivileee, tunatofautiana sana kwa mambo mengi, kama wamasai au wadiga, au wakurya wanaudugi, hiyo sio tatizo, hata wamakonde, wanyakyusa, wamakua, wahaya, waha, na wayao pia wanamahusiano na walioko nchi za jirani, tukiruhusu hilo, hayo makabila yote yatavuka mpaka kuingia nchini kwa kisingizio cha udugu, kumbuka Tanzania inapakana na nchi nane.
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,193
2,000
Wafugaji kwa ujumla wana matatizo sana kwa kweli.
Wanatumika kisiasa kwa faida ya wanasiasa.

Unakutwa wanasiasa wanajifanya kuwa ni watetezi sana wa wafugaji lakini ni kwa ajili ya kupata kura kwa gharama nafuu.

Karne ya 21 waafrika bado wanafuga kwa kuhama hama kama enzi za ujima.
Haifai kabisa kuendelea kufanyika kwenye ulimwengu huu wa kileo.
Mifugo sio tu inayotoka nje bali hata ya ndani iwe ni marufuku kuhama toka ardhi ya mtu mmoja kwenda ardhi ya mtu mwingine.

Hivi hatuoni kuwa kuna tatizo pale mtu anapotoa ng' ombe point A kwenda Point B , je anashamba huko la kwenda kufuga au anavamia mashamba ya watu na hifadhi za umma kwa manufaa yake binafsi??

Nadhani kwa hili Rais yupo sahihi kabisa.

Na asiishie hapo.Najua mh. Rais hua anasoma sana maoni ya watu humu mtandaoni. Apige marufuku suala la ufugaji wa kuhama hama bila kuwa na mazingira sahihi ya mwenye mifugo kuweka ng"ombe wake.
Haiwezekani ardhi yoooote iwe ni sehemu ya kufuga ng"ombe. Utakuwa ni ujinga kuendelea kufanya ufugaji wa kuzurura kwenye mashamba ya watu.

Tunataka kuona wafugaji ,wakulima,wafanya kazi, wafanyabiashara na wanasiasa na watalii wote wanafuata sheria za nchi kila mmoja kwa sehemu yake.

Na pia huu ujengaji vijumba vya nyasi ni dalili ya maandalizi ya kuhama hama.
Nyumba zijengwe za bati na matofali.
Marufuku kuhama.
Kila mfugaji anunue au apimimiwe eneo lake la kufuga na alitunze kwa mbolea na kupanda nyasi wakati wa mvua.

Mifugo ipunguzwe mana hawa wafugaji kwa sasa ndio watu hatari sana huko vijijini kwa kuvamia maeneo ya hifadhi na mashamba ya wanavijiji.

Wafugaji wote nchini wabadilike kwa kufuga ng'ombe wachache kisasa.
 
Umeiweka vizuri sana, kwa kweli ukiangalia upande wa pili wa shilingi, nafikiri muda umefika Wamaasai waanze kukumbatia mifumo ya kisasa ya ufugaji, itapunguza chokochoko hata baina yao na makabila ya ndani. Asante kwa mchango wako uliojaa busara.
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005

Muswada wa sheria ya ufugaji ulipelekwa Bungeni miaka kadhaa iliyopita. Kilichotokea muulize Ole Sendeka na wabunge wenzake wa wakati huo.
 
Na pia watasaidia pato la taifa kukua kwa kiwango kikubwa nachango wao kuonekana.
Wafugaji wakiamua kusoma kwa juhudi watalisaidia sana Taifa hili.
Jamii za wafugaji wana vipaji vingi sana kama wanamichezo n.k.
Tunahangaika kupata wachezaji ,wanariadha ,wanamasumbwi, wacheza basket ball n.k.wakati tuna jamii kubwa sana inaishi maisha ya ujima ambayo ingeweza ikatoa vipaji vingi sana.

Mmasai mwenye Ng'ombe 3000 akiuza ng" ombe 2500 kwa bei ya sh. 700,000/-@.
Atapata jumla ya sh. Bil. 1.75.
Pesa zinazoweza kujenga kiwanda kidogo cha kusindika maziwa.Na akasomesha watoto wake ulaya na uchina ili baadae wawe maEngineer ,madaktari na wanauchumi wa kusimamia uchumi wa familia.
Huyo ni mfugaji mmoja.

Taifa linapata hasara kubwa sana kwa kuendelea kuwaacha wafugaji wa kuhamahama waishi kwenye mfumo huo kwa kuwa na nguvu kazi kubwa inayojipatia kipato kwa njia ya uvamizi.
Wafugaji wana watoto wengi sana ambao hawapelekwi shule kusoma zaidi ya kujifunza namna ya kupigana na kupora mifugo ya watu na kuvamia mashamba ya watu kwa ajili ya kuharibu mazao ya watu.
Huu ni uhalifu wa hali ya juu kabisa kwenye jamii iliyostarabika.

Yani kwa sasa wakulima hawana amani kabisa wanapokumbuka uvamizi wa wafugaji wenye mapanga na kafimbo na mabunduki.

Wangepewa muda na elimu ya kutosha ya namna wanavyoweza kuyafanya maisha yao yakawa ya kisasa na mazuri sana kwa kupunguza mifugo wakati wa nyasi nyingi ili wauze kwa bei kubwa na fedha hizo wazitumie kuandaa maeneo ya kisasa na makazi ya kudumu kwa ajili ya ufugaji wa kisasa.
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,193
2,000
Muswada wa sheria ya ufugaji ulipelekwa Bungeni miaka kadhaa iliyopita. Kilichotokea muulize Ole Sendeka na wabunge wenzake wa wakati huo.

Hapo wala hakuna haja ya mswada kupelekwa bungeni.
Hao jamaa ni wajanja sana.
Na ni wahongaji wazuri sana.
Wana umoja sana .
Wanafuatilia matukio yenye lengo la kuathiri mfumo wao kwa karibu sana.
Wanatoa maamuzi ya pamoja
Wakimkataa mbunge watamkataa kwa pamoja.
Hivyo wabunge wao wanajua kuwa kura wanazopata ni kutokana na kujidai kuwa wanawatetea ili hali wakijua wazi kuwa wanatetea mfumo wa kijima ambao karine hii unamkuta kijana mwenye akili na nguvu lakini hajui kusoma,kuhesabu wala kuandika lakini anachunga ng'ombe 1000 wenye thamani ya shilingi Mil.500.

Hawa dawa yao ni kuwaelimisha kwa kuda wa miaka kama 2 mfululizo ili wajiandae kwa kupunguza mifugo kwa kuiuza na baada kufuata waambiwe wazi kuwa sheria itafuatwa kwa nguvu zote.
Ukiingia kwenye hifadhi basi sheria inafuatwa kama ilivyo.
Ukikutwa hujampeleka mtoto shule anachunga basi rungu la dola linashuka.

Ukikutwa umejenga eneo lisilo la makazi ya vijiji wala miji basi ni kufuata mkondo wa sheria tu. Ukikutwa umevamia eneo la vyanzo vya maji ni sheria tu.
Kuwapeleka mahakamani ili kuda mwingi wajikute wanahangaika na kesi zao halafu faini ziwe zinawatafuna.

Baada ya miaka kumi hali itakua nzuri na mabadiliko yataonekana.
Huko kwa wafugaji napo kunafaa kunyooshwe ! Ili tuwe na Tanzania ya mpya ya viwanda sio ya kuranda randa misituni na kuvamia mashamba.
 
MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,089
2,000
Tanzania siyo shamba la bibi majirani kuja kulisha ng'ombe wenu.
mmebakia na mnaokula kwa paa la Afrika safari hii mtakula magodoro na ng'nmbe wenu watakula rambo.
 
lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
7,728
2,000
Hawa ndugu zangu wamasai ni muda muafaka sasa mubadilike, fugeni kisasa azisheni ranchi za mifugo badala ya kutangata. Nchi haiwezi kuongozwa kiholela, pamoja na undugu uliotenganishwa na wakoloni hatuwezi kurudi hujo kwenye ujima jamani. Tatizo la mifugo nchini na kwenye mpaka n kero kwa karne sasa hasa kwa yale maeneo ya kilimo kama Kagera. Lazima shera ichukue mkondo wake. Magufuli yuko sawa watu waliumia miaka nenda rudi jwa sababu matajiri wa mifugo kutoka nchi jirani walikuwa wakwahonga viongozi wenyej na kuleta uharibifu wa misitu ya asili na mashamba ya wakulima wenyeji. Bakini huko kwenu na hao watz warudi nyumbani muwekewe mpango mzuri wa kufuga huku
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,573
2,000
Wafugaji kwa ujumla wana matatizo sana kwa kweli.
Wanatumika kisiasa kwa faida ya wanasiasa.

Unakutwa wanasiasa wanajifanya kuwa ni watetezi sana wa wafugaji lakini ni kwa ajili ya kupata kura kwa gharama nafuu.

Karne ya 21 waafrika bado wanafuga kwa kuhama hama kama enzi za ujima.
Haifai kabisa kuendelea kufanyika kwenye ulimwengu huu wa kileo.
Mifugo sio tu inayotoka nje bali hata ya ndani iwe ni marufuku kuhama toka ardhi ya mtu mmoja kwenda ardhi ya mtu mwingine.

Hivi hatuoni kuwa kuna tatizo pale mtu anapotoa ng' ombe point A kwenda Point B , je anashamba huko la kwenda kufuga au anavamia mashamba ya watu na hifadhi za umma kwa manufaa yake binafsi??

Nadhani kwa hili Rais yupo sahihi kabisa.

Na asiishie hapo.Najua mh. Rais hua anasoma sana maoni ya watu humu mtandaoni. Apige marufuku suala la ufugaji wa kuhama hama bila kuwa na mazingira sahihi ya mwenye mifugo kuweka ng"ombe wake.
Haiwezekani ardhi yoooote iwe ni sehemu ya kufuga ng"ombe. Utakuwa ni ujinga kuendelea kufanya ufugaji wa kuzurura kwenye mashamba ya watu.

Tunataka kuona wafugaji ,wakulima,wafanya kazi, wafanyabiashara na wanasiasa na watalii wote wanafuata sheria za nchi kila mmoja kwa sehemu yake.

Na pia huu ujengaji vijumba vya nyasi ni dalili ya maandalizi ya kuhama hama.
Nyumba zijengwe za bati na matofali.
Marufuku kuhama.
Kila mfugaji anunue au apimimiwe eneo lake la kufuga na alitunze kwa mbolea na kupanda nyasi wakati wa mvua.

Mifugo ipunguzwe mana hawa wafugaji kwa sasa ndio watu hatari sana huko vijijini kwa kuvamia maeneo ya hifadhi na mashamba ya wanavijiji.

Wafugaji wote nchini wabadilike kwa kufuga ng'ombe wachache kisasa.
Ila cha kushangaza sie tusio wafugaji tunadhani wale mifigo wapo pale kwa manufaa ya mfugaji tuu, Hivi jiulize iwapo kila mfugaji anahamua kuachana na mifugo na badala yake akaanza maisha mengine kabsaa nn kinaweza kutokea katka jamii?
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,601
2,000
Wakenya wajue wazi kwamba, katika nchi tulizopakana nazo, Msumbiji inatangulia kuwa ndugu wa karibu na Tanzania ikifuatiwa na Uganda na Zambia, huko tulimwaga damu za watanzania, hao ni ndugu zetu wa damu, pamoja na kumwaga damu Msumbiji lakini watanzania walifukuzwa kinyama kwa kufanya kazi bila kufuata sheria, Magufuli aliwakana na kusisitiza umuhimu wa kufuata sheria, huu udugu wa Kenya na Tanzania ambao Kenya wanauzungumzia kila mara ulianza lini?, Kenya na Tanzania ni majirani tu lakini sio ndugu kivileee, tunatofautiana sana kwa mambo mengi, kama wamasai au wadiga, au wakurya wanaudugi, hiyo sio tatizo, hata wamakonde, wanyakyusa, wamakua, wahaya, waha, na wayao pia wanamahusiano na walioko nchi za jirani, tukiruhusu hilo, hayo makabila yote yatavuka mpaka kuingia nchini kwa kisingizio cha udugu, kumbuka Tanzania inapakana na nchi nane.
Nimeipenda hii hawa nyoko wanapenda fyokofyoko sana! Imagine The Star inaandika "Magufuli torched chicks from Kenya"! Wanachotafuta watakipata tena walivyo divided sasa wasitafute ugomvi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom