Eh kumbe Sonko anakule huo mzigo,da ni sawa na Landrover kuvuta Scania 110,huo mtambi wa Rachel wahitaji kazi kuufania massage,mwenye hela sio mwenzako,kwa hiyo mama anamuheshimu tu bwnaake Sonko,sasa naye bwanaake kapigwa vibao huko Mombasa,hawa jamaa Sonko na Rachel sio ajabu ni pair kwani wote wana wasifu unao fanana,wote ni wapenda sifa,kimbelembele na wajifanya wanatetea wanyonge,hiyo ndio janja yao ya nyani kule mahindi shambani.Wajifunze ustaarabu kwanza,wasiwachokoze wenzao ili wapate umaarufu.Uhuni wao waupeleke kwa wahuni wenzao Jubilee,na wakwende zao kwa kuchapwa vibaoThese CORD governors are completely going off the rails now. Just the other day it was reported Gov. Joho slapped ma man Sonko.
Then today Kidero does the same damn thing to Rachel. What's up with all that?
And the weird thing is, Sonko and Rachel are buddy buddies with each other (some say are lovers).
Kidero should be recalled. You can't be acting like a thug when you are governor.
Hapo hatachomoka huyo jamaa. Sana sana anaweza aka-settle out of court na hapo lazima zitamtoka mfukoni.
Na sijawahi kuona PR skills mbovu kama za huyo jamaa. Eti anakana kabisa hakumzaba Rachel kofi wakati yuko on tape kabisa akimzaba na hadi sauti ya kibao ikasikika.
Hovyo kabisa huyo jamaa. Na ana bahati Sonko hakuwepo hapo la sivyo angechezea kichapo leo.
siasa za siku hizi hazina heshima kabisa.
lkn Nyani Ngabu huwez kuamini i being a woman siwez kuanza kubishana na mwanaume that way tena mbele za watu. nikiona tayari huyu mwanaume amesha loose temper the best thing is for i to shut my mouth and quit. haitonipunguzia chochote kile na pia itanikinga na dhalili ya aina hii.
ndio mana kuna siku nilishiriki kwenye mjadala mmoja TGNP nikawaeleza wazi kwamba nia ya harakati za kijinsia sio kukuza mabega ya wanawake ila ni kumtetea mwanamke dhidi ya haki zake za msingi anazo kosa, na pia inatakiwa zimwelimishe mwanamke juu ya heshima na wajibu wake kwa jamii, manake what comes first before anything is personal respect.
ukijiheshimu huwez kuanza kutukanana na mtu publicly bila kuwa na haya juu ya kutoutendea utu wako heshima. a lady should act like a lady and not otherwise
umeongea kama mwanamke anaejitambua,msomi,na aliyelelewa kimaadili ya kiafrika..hata kama ni siasa lazima heshima ichukue mkondo wake.this woman shebesh huwa nasoma habari zake kwenye blogs na papers za kenya she so loose,the other day alifukuzwa state house na mama ngina kenyatta.anapenda sana ku rub shoulder na wanaume,she is the type of wakina mama yule wa same..usikute hapo alimuambia kidero ''wewe jaluo hanisi nini ebu walipe hawa pesa zao'' yaani anapenda misifa kama jamaa yake sonko.
Nyani,mtu mhuni akikuvamia ofisini na wahuni wenzake utafanyaje,utamwangalia usoni,kile kitendo cha huyo mhuni kuingia ofisi ya mtu na lundo la wahuni huoni huo ni uvunjivu wa amani?huyo mama ni mhuni wacha aonyeshwe kuwa kuna wahuni zaidi yake,mal.... ni mal.... tu
Huyu Rachel Shebesh hajaolewa kumbee?
Mhuni ni Kidero. Rachel na wenzake walikuwa wanatumia haki yao ya kikatiba ya kwenda kuonana na kiongozi wao ofisini kwake. Sasa kwenda kuonana naye ofisini kwake ni kosa?
He is a punk. Na kama kweli ni tough hivyo mbona baada ya kumzaba kibao akarudi haraka haraka ofisini kwake na kujifungia humo?
Natamani wana Nairobi wampopoe mawe popote pale atakapoonekana. Na kama Rachel angekuwa mke wangu ningemuwinda huyo jamaa hadi nimpe kilema cha maisha. Jinga kabisa.
Umeruhusu biases zako za kisiasa ziharibu kabisa busara zako (kama hata unazo). Yaani wewe una condone violence kwa vile tu aliyepigwa ni wa Jubilee?
Hakuna kibaya wala kosa alilofanya Rachel. Wananchi wana haki ya kuandamana na kwenda kuongea na viongozi wao kwenye ofisi zao. Ofisi za viongozi siyo mali zao binafsi.
Huyo mjinga Kidero hajui na hawezi uongozi. Yeye anadhani kwa vile tu ni gavana basi kila mtu atafurahia maamuzi yake na kumsujudia kila uchwao?
Kama angekuwa ni kiongozi mwenye kujua dhima yake basi angetambua kuwa si kila wakati maamuzi yake yatawafurahisha watu wote. Kuna wakati yatawachukiza wengine na ni lazima yeye kama kiongozi awe na ngozi nene kuweza kustahimili kukosolewa, kupingwa, na kadhalika.
Sasa kalikoroga na atalinywa tu. Na alivyo mjinga (forget he is a doctor) eti anakana kabisa hakumpiga mtu kofi wakati kanaswa na kamera waziwazi akimshambulia Rachel. Na alivyo mjinga zaidi eti akawa na kimbelembele cha kuongea na waandishi wa habari na kujifanya hakumbuki kumpiga mtu.
Jinga kabisa hilo jamaa. Na kama ningekuwepo hapo ningempiga mangumi hadi atapike nyongo.
Duh ,kama angekuwa mkeo? ...mnhhhhh...
huyu Rachel naona kakuingia mno mazee
siasa za siku hizi hazina heshima kabisa.
lkn Nyani Ngabu huwez kuamini i being a woman siwez kuanza kubishana na mwanaume that way tena mbele za watu. nikiona tayari huyu mwanaume amesha loose temper the best thing is for i to shut my mouth and quit. haitonipunguzia chochote kile na pia itanikinga na dhalili ya aina hii.
ndio mana kuna siku nilishiriki kwenye mjadala mmoja TGNP nikawaeleza wazi kwamba nia ya harakati za kijinsia sio kukuza mabega ya wanawake ila ni kumtetea mwanamke dhidi ya haki zake za msingi anazo kosa, na pia inatakiwa zimwelimishe mwanamke juu ya heshima na wajibu wake kwa jamii, manake what comes first before anything is personal respect.
ukijiheshimu huwez kuanza kutukanana na mtu publicly bila kuwa na haya juu ya kutoutendea utu wako heshima. a lady should act like a lady and not otherwise
Awe kaniingia au hajaniingia is neither here nor there. Alichofanya Kidero ni kosa na kosa kwangu halina cha itikadi wala nini. Nashangaa sana kuona watu wanaona alichofanyiwa Rachel kuwa ni sawa.
Kidero just showed he doesn't have what it takes to be a leader. Hivi yeye anadhani kila amuzi lake litawafurahisha wote na hataki kupingwa wala kukosolewa?
Unajua kama angemzaba kibao in self-defense hapo wala nisingekuwa na tatizo. Lakini yeye ndo kamzaba kibao kwanza halafu kwa jeuri aliyonayo eti kakataa na kudai hakumbuki kumzaba mtu kibao.
Wewe hapo ulipo kama umeiangalia hiyo video utasema kweli with a straight face kwamba hakumzaba kibao?
Kwa nini mambo kama haya yanavumiliwa Afrika?
hahahaha mkuu nyani ngabu,sijapendelea kidero kumzaba shaber kibao..ila huyo mama nae ni machachari sana.nazani unaijua ile sample ya mama wa same..kidero ni binadamu usikute shabesh alimtukana.