GARI ZINAUZWA ToyoTa PICK -Up (Double Cabin)

GARI ZINAUZWA ToyoTa PICK -Up (Double Cabin)

Brightonswai

Member
Joined
May 24, 2012
Posts
9
Reaction score
0
gari Zinauzwa Pick up (double Cabin) Engine 3L za Mwaka 1996..zimetuka Uingereza..Zipo katika Hali Nzuri Na Pia Zipo 4..Bei Ni Maelewano..
phone Number:+255717783919
 
Angalia matangazo ya wenzio halafu uigilizie. Vinginevyo unatapata maswali mengi sana hapa. Sio wote wana nafasi ya kukupigia simu. Wengine watahitaji picha na maelezo zaidi kabla ya kukupigia. Wengine, kama mimi, wanachukua maelezo ya tangazo lako na kukusaidia kutangaza kwa watu wasio na uwezo wa kuingia hapa. Fanya hivyo kuongeza thamani ya bandiko lako. Ni ushauri tu! Nakutakia kila la heri.
 
sawa Nalifanyia Kazi Hilo swala La Picha Bei Ni Shilingi Millioni 25 Ila Maelewano Yapo..Tutafanya biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom