Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
Wakuu habari zenu? ase tuache utani wala tusilete ushabiki wa vyama,hivi hili suala la viongozi wakubwa na hata wa kawaida kutumia gari nzuri kubwa na za kifahari kwa nchi yetu ambayo ni ya kawaida kiuchumi ukilinganisha na gharama za hayo ma VX V8 hivi ni sawa kweli? kwanini tusiwekeze hizo fedha katika kuwapa vijana mikopo wafanye shughuli za kimaendeleo au ziwekwe katika wizara tofauti na muhimu.
kwa ajili ya faida ya nchi kama vile katika sekta ya maji na afya pia elimu,kuliko kuwapa mawaziri,makatibu na baadhi ya viongozi wengine kutumia hayo mamillion kwa usafiri tu,ikiwa wananchi wanaowahudumia hawana huduma nzuri wala magari hayo? utakuta kiongozi anaenda sehemu za vijijini sana wananchi wana barabara na miundombinu mingine mibovu lakini yeye anapita au kwenda na gari kama hilo. au katika msafara wake kuna gari za bei ghari tu,je hii ni sawa? pia hii imekuwa imezidi maana sasa hata gari za serikali za mitaa SM au halmashauri na wao pia wanatembelea hayo ma VX huku wakiona wananchi wanateseka na huduma mbalimbali.
kingine ni serikali ya Oman na Kuwait wametoa msaada wa magari ya kifahari jumla yake manne,kwanini wasitusaidie fedha au viongozi waamue kuomba msaada katika huduma za sekta za afya na maji? kuliko thamani kubwa ya hayo magari kwa ajili ya viongozi wachache wa nchi wanaotumikia wananchi wenyewe? naomba raisi aangalie pia katika hili,linafaa kudhibitiwa ili kupunguza matumizi makubwa na mabaya ya fedha,maana hapo bado tena mafuta....
Viongozi kuweni wazalendo ndugu wabunge,mawaziri,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wilaya,makatibu na wengine wote,kwanini msitembelee gari za gharama za chini?? au za kawaida kusave nchi yetu na watu wake.ni maoni yangu tu wakuu,limekaeje hili au lifanywe vp?
asante.
angalia enzi za mwl.gari walizotumia viongozi wakubwa wa nchi...