Ya mafuta kidogo mbona yapo mengi sana mkuu!ila hayana ladha unapoyaendesha,gari unaikamua haitaki kwenda,nguvu ndogo,labda kama unataka cha kuzungukia nacho kwenye foleni za mji kama Dar,lakini kwa safari ndefu hizo ni shida tu......
Saloon ni body type au kwa jina lingine sedan
Na hizo gari zinarange kuanzia cc900 hadi cc 1790. Hivyo ukinunua kutoka Japan moja kwa moja na sio kwa mtu utatumia gharama ndogo kwa ajili ya maintenance.
ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa
ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa