Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 14,252 Reaction score 30,540 Sep 16, 2013 #1 Habari wakuu! Gari mbili za biashara FUSO na COASTER yanauzwa jijini Mbeya. Gari zote ziko katika hali nzuri, bei ni maelewano tu. Kwa maelezo zaidi nitumie PM au nicheck kwa hii email "gujomba@gmail.com". Ukipata ujumbe huu mjulishe na jirani yako.
Habari wakuu! Gari mbili za biashara FUSO na COASTER yanauzwa jijini Mbeya. Gari zote ziko katika hali nzuri, bei ni maelewano tu. Kwa maelezo zaidi nitumie PM au nicheck kwa hii email "gujomba@gmail.com". Ukipata ujumbe huu mjulishe na jirani yako.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,407 Sep 16, 2013 #2 Fuso aina gani? Natafuta fuso tipper ya engine D16! Hakuna haja ya kwenda pm ama email kwani siri ni nini? Weka hadharani
Fuso aina gani? Natafuta fuso tipper ya engine D16! Hakuna haja ya kwenda pm ama email kwani siri ni nini? Weka hadharani