Gari yangu inagonga mbele

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Habari wadau,gari yangu freelander linagonga mbele hasa ninapopita roughroad nimebadili stblizerlink na stablizerbushes kwa maelekezo ya fundi lakini bado inagonga jana kaniambia nibadiri wishbordbushes,naombe msaadae wenu nini nifanye?
 
Hapo rake hands ....
power steering rack

stablizerbushes wishbordbushes
wishbone bushes

stabilizer bar bushing
engine mounting
engine mount

steering rake
steering rack

rake Hand
hiki nini, right hand drive power steering rack?

Hiyo gari haina kitu kinaitwa rake hand....

Hapa ndio wachina huwa wanakuja wanatu study kidogo tu halafu wanafungua ki garage kimeenda shule kidoogo tu! Wanapiga hela mpaka zinawashinda!
 
Back
Top Bottom