0768628314
Member
- Apr 22, 2019
- 44
- 96
coolant inapungua au haipungui?Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea...
Maji yapo sawa maana tumebadili hadi water pamp na kuweka mpya maana kuna wakati maji yalikua yanaisha ila bado shida ipo pale palecoolant inapungua au haipungui?
Uchawi upo hapohapo mbele, kwenye raduator au radiator fan assembly.Maji yapo sawa maana tumebadili hadi water pamp na kuweka mpya maana kuna wakati maji yalikua yanaisha ila bado shida ipo pale pale
Tumebadili radiator kuweka nyinginge bado kipengele kipo sasa pengine mafundi wanahisi dashboard ilichezewaUchawi upo hapohapo mbele, kwenye raduator au radiator fan assembly.
Wamecheki thermostat? Pengine haitembei kwenye tube yake... anyway mafundi wanakujaHabarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa ...
Tafuta fundi mwenye mashine apime aone hio engine check inamaanisha code gani, kisha weka hapa code nikwambie urekebishe wapiMafundi wamegusa kila kona, hadi kubadili gasket, lakini bado hakuna majibu.
Thermostat haipo kabisa ilisha tolewaWamecheki thermostat? Pengine haitembei kwenye tube yake... anyway mafundi wanakuja
Cheki mfuniko wa rejeta au badilishe weke mpya used kutoka Japan.Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20...
Kama yupo kahama aniletee mimiKama upo Dar, peleka gari kwa JituMirabaMinne achana na mafundi wapiga ramri.
Sawa mkuuTafuta fundi mwenye mashine apime aone hio engine check inamaanisha code gani, kisha weka hapa code nikwambie urekebishe wapi
Naomba namba yako maana nasafari ya mbea leo au kesho asubuhi natokea katoroKama yupo kahama aniletee mimi
Tupa tu hiyo. Imesha expire.Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu...
Tumebadili piaCheki mfuniko wa rejeta au badilishe weke mpya used kutoka Japan.
Ndo maana unashabikia DP world, hahahaTupa tu hiyo. Imesha expire.
Okay nakutumia PMNaomba namba yako maana nasafari ya mbea leo au kesho asubuhi natokea katoro
Ndo maana unashabikia DP world, hahaha
Anyway, shikamoo bibi
Kutupa ndo suruhisho nikafanye hilo? Kama hujui jambo liache boss hakuna gari mbovu sema huna hela...Tupa tu hiyo. Imesha expire.