Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
1. Pump ya mafuta au ya Maji?
2. Hiyo gauge ni umeme jambo dogo.
3. Lini umewahi ifanyia diagnosis tuandikie code ulizozipata. Kama badi anza na ilo.
4. Pump unazonunua ni fake au tatizo lipo kwenye circuit.
nashauri anza na 3.
Kwa Arusha sijui fundi ila Dar pa kuanzia tungepata. Uzuri Toyota inatengenezeka acha uwoga.Mkuu ni pump ya mafuta. Diagnosis nafanya lakini si unajua siku hizi kila fundi anakimachine chake uchwara hivi vya bei chee af unapigwa hata elfu 30 - 50 kwa dkk 2 na hasemi mambo ya msingi.
Kwa Arusha sijui fundi ila Dar pa kuanzia tungepata. Uzuri Toyota inatengenezeka acha uwoga.
Dalili za fuel pump iliyochoka nainaelekea kufa..
1. Whine noise...
Utasikia pump inavuma haswa mafuta yakishafika kuanzia robo ya tank.
2.Hard starting...Mara nyingi utapata ugumu wa kuwasha gari...unaweza kupiga starter mara mbili au tatu ndiyo injini iwake..
3.Rough idling..
Muungurumo wa gari hauwi wa kutulia gari likiwa silence..
4. Loss of power under stress..
Gari lako linaishiwa nguvu kwenye kilima, au pale unapo overtake...au likinasa kwenye tope/mchanga..
Au ukililazimisha kushanganya faster, halitaki..Na hapa ukilazimisha sana kama mafuta nikidogo, pump inapata moto na gari linaishiwa nguvu kabisaa...
5.Gari kuzimika haswa kwenye foleni....
6..Kuna wakati utahisi kama gari linasita sita kwenda..
Hizo ni baadhi ya dalili za awali kuwa una pump mbovu au inayoelekea kufa..
Turudi kwenye suala lako,Kwa nini unanunua pump zinakufa..
1.Trust me, unanunua pump fake....pump ni kitu mabacho hakifi hovyo hovyo endapo ni genuine
2..Pamoja na kwamba unanunua pump fake, kuna muda unaendesha gari likiwa na mafuta kidogo, ambapo mafuta kidogo ndiyo mchawi mkubwa wa pump haswa kama ni vipampu vile vya kichina....kumbuka mfuta hupooza pump..
3.Kama umejiridhisha tatuzo ni pump, nunua pump genuine za magari ya japan huwa zinaingilia haijalishi ni Toyota, Honda ua Nissan...Most of Japanese vehicles zinaingiliana In tank Petrol pump.
Pump original ambayo haitakusumbua kwa zaidi ya miaka 2, haipungui 200k.
Ukipata Denso ni kuanzia laki 2.5 na kuendelea..
NB...ukifunga hizi pump za sh elfu 30, 50 utateseka mpaka uchukie gari.
Nawasilisha..

Karibu sanaAsante sana boss wangu