Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Habari zenu waheshimiwa, Gari yangu ni TOYOTA SPRINTER SEDAN SE VINTAGE RIVIERE 2000 yenye engine Aina ya 5A-FE,
Tangu jana gari imekuwa nzito, Nikianyaga moto sipati perfomance kama zamani maana inachelewa sana kufika speed inayotakiwa, Hata nikikanyaga hadi mwisho zaman ilikuwa inchomoka fasta lakini kwa sasa hata nkikanyaga accelerator hadi chini spidi ni ya kawaida tu.
Bado sijaenda gereji lakini naamini ushauri ntaopata humu ndani kwa namna moja au nyingine utanisaidia mimi na wengine wataoptata hili tatizo.
Gari na engine yake ni kama hii mnayoiona kwenye picha