Gari yangu imekuwa nzito

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,216
2,000
Habari zenu waheshimiwa, Gari yangu ni TOYOTA SPRINTER SEDAN SE VINTAGE RIVIERE 2000 yenye engine Aina ya 5A-FE,
Tangu jana gari imekuwa nzito, Nikianyaga moto sipati perfomance kama zamani maana inachelewa sana kufika speed inayotakiwa, Hata nikikanyaga hadi mwisho zaman ilikuwa inchomoka fasta lakini kwa sasa hata nkikanyaga accelerator hadi chini spidi ni ya kawaida tu.
Bado sijaenda gereji lakini naamini ushauri ntaopata humu ndani kwa namna moja au nyingine utanisaidia mimi na wengine wataoptata hili tatizo.

Gari na engine yake ni kama hii mnayoiona kwenye picha
toyo2.jpg toyo3.jpg toyo.jpg
 
dripu

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
1,288

View attachment 519691 View attachment 519692 View attachment 519693
Toa hicho ndio kinazuiia
 
bryanrt01

Senior Member
Jan 31, 2017
168
225
Dili kwenye vyuma chakavu watafute wanunuzi ili ukanunue nyingine itayokuwa nyepesi
 
Somoney

Member
Apr 11, 2017
56
125
Gari kuwa nzito vpo vitu vingi husababisha, hata nikikueleza hutaweza kuifanya hiyo kaz... Kwa ushaur wangu mtafute fundi wa gar ndogo au ipeleke gerej
 
Lusajo11

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
1,891
2,000
Kama uliweka oil nzuri na kufanya usafi inavyotakiwa basi kuna shida kwenye umeme.
Sio fundi, naongea kwa experience tu, kuna siku gari ilikuwa nzito ghafla, tatizo ikawa alternator. Baada ya kurekebisha mambo yakawa poa
 
Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,174
2,000
Anza na spark plugs mkuu! Zikichoka mafuta yanakuwa hayachomwi vizuri. I had similar experience ila baada ya kubadili drive test yangu ya kwanza ilikuwa Milima ya kisarawe, nilipanda vizuri ajabu.
 
Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,266
2,000
uangalie na fuel pump mara nyingi na zenyewe zinachangia kama ni mbovu au uchafu umejaa inawezekana uliweka mafuta ambayo sio
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom