Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

Nunua oil original, hiyo PASSO japo uliinunua milioni 3 lakini usiidharau, weka oil ya dukani si za kupima huko mtaani.
Starehe gharama.
 
Wazeee za asubuhi,gari imenisumbua tena haiendi mbele ila kurudi nyuma tu
Jana tulitengeneza valve sile ilikuwa ndo inavujisha hydraulic na ile sauti iliisha kabisa sasa hivi asubuhi haiendi mbele
Ngoja nikupe siri itakayakuokoa!Asilimia 99 ya mafundi wa Tanzania ni magenge ya kuharibu magari ya watu.Tumia muda wako,akili pamoja na hela kutafuta mafundi ambao kazi yao siyo kuharibu magari bali ni kutengeneza magari, tofauti na hapo utakuwa unalia kila siku.
 
Safi faza nimekuelewa sana
 
Mkuu hivi kile kiduku kwenye rav4 old model kinatokaje,maana rav4 nyingi uwa zina hilo tatizo
 
Unawasha na kuondoka? Hujui kufanya warm up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…