Gari ya toyota caldina

Gari ya toyota caldina

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
908
Naomba ushauri wana JF,nimejikusanya na sasa nataka kununua ka gari angalau ka kunifanya niwe mobile kuliko nilivyo sasa,na ka gari ninakopanga kununua ni Toyota caldina,naomba ushauri wenu wanajamii especially kuhusu spear na fuel consumption.Thanx in advance
 
mwaka wa nne natumia gari hiyo,ni nzuri sana na spea zake hata kijijin utazipata kwani ni sawa na corolla ila kuwa makini,ziko caldina za aina nyingi,tafuta yenye cc 1500 ingine kama sijakosea ni 5E!ukiipata hiyo mafuta inanusa tu na safari za ar dar dar mbeya inapeta tu,unafuta spidi meter yote kwani jinsi ilivyo inaifanya iwe stable sana
 
Back
Top Bottom