muda si mrefu hapa mtwara nimepishana na landcruiser v8 ya polisi, imepigwa tinted.
hii ni sawa kweli?
labda wadau mnipe maoni tofauti.
Magari ni mali ya umma c ya serikali!Wanajificha , maana hamchelewi kuwa popoa mawe mkiwaona!
Muda si mrefu hapa Mtwara nimepishana na Landcruiser v8 ya polisi, imepigwa tinted.
hii ni sawa kweli?
Labda wadau mnipe maoni tofauti.
sahihi hata za maliasili huwa zinapigwa tinted kwa ajili ya usalama wa watumishi
kuna msemo unasema "meno ya mbwa ayaumani"Mkuu wale wa maliasili pamoja na usalama wao, sitasahu siku nimewapeleka kuangalia magogo yaliyokatwa, ikagundulika mwenzao ndo mkataji, mihuri anagongea njiani wala sio porini kama utaratibu unavyotaka. NILICHOKAJE?