Gari ya milioni 7

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Wadau wenye uzoefu na magari.naomba ushauri wa aina gani ya gari(automatic) nayoweza kununua baada ya kuuza niliyonayo.isizidi 1500cc. Nategemea kuwa na tsh 7milions baada ya kuuza na kuongezea kiasi flani cha pesa.
Niko dsm. Matumizi yangu mara nyingi ni ya kawaida sana kwa siku.mara nyingi natumia kwenda kazini ambako ni kama km 1 kutokea napoishi.
NINA BODY KUBWA FLANI ALAFU MREFU KIASI.napenda yenye nafasi ya kutosha hasa kwenye seat ya driver.
Niliyonayo nauza sababu nataka kujiupdate tu na sio kingine.yenyewe ni 1.5cc ila iko ki-tax zaidi.(COROLLA LIMITED)
 
Ni vizuri ungetuambia kwanini umeamua kuuza hilo ulilonalo ili iwe rahisi tupate kwa kuanzia kukushauri
 
Ok nimecheck net nimeona ziko vizuri,ni around bei gani?una uzoefu nayo zaidi?
 
Ok nimeongezea hapo kwenye uzi wangu kuhusu swali lako.thanks
 
Gari corolla g ya 2003 au 2004 ina shape nzuri na mafuta inatumia poa cc 1500 tu.
 
Ili kuondoa usumbufu wa maswali, labda gari uliokuwa nayo mwanzoni ni aina gani? Na sasahivi unataka ya aina gani?
Sidhani kama ulikua na Corola utahitaji Corola tena!
 
Nilikuwa na corolla limited. Nayohitaj bado niko flexible kulingana na mawazo mengi ya watu.
 
Na mawazo ya fundi nayo yatazingatiwa
 
Daima ukitaka msaada weka mambo yote hadharani na sio kuficha ficha,Sema una gari ya aina gani unayouza ili watu wakusaidie kukushauri na cha msingi hapa sikujua umbo lako ila kujua gari mmbadala kwa kiasi ulichonacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…