Mkuu naomba utueleze yafuatayo kabla ya kuendelea!
Unahitaji kukodi gari aina gani?Saloon car,4WD,au aina gani?je safar zako ni za hapa dar au kuna mida utatoka nje ya dar?kwa mfano Bagamoyo,Arusha nk.manake hii industry ya kukodisha magari inabd tuwekane sawa mapema manake unaweza kujikuta gari yako mmeelewana shs 60,000 kwa week na kila week end jamaa anapiga Arusha na kurudi.Pi a itakua ni self drive au unataka upatiwe na dereva?naomba unijibu haya maswali machache then we can make business.