Alex ex-saviery Member Joined Aug 9, 2013 Posts 23 Reaction score 5 Jan 19, 2014 #1 Toyota mark II bado nzima na inatembea unaweza ukaletewa hapo ulipo kwa bei ya tsh.mil 5.5 (milioni tano na laki tano) kwa maelezo zaidi 0717342771.
Toyota mark II bado nzima na inatembea unaweza ukaletewa hapo ulipo kwa bei ya tsh.mil 5.5 (milioni tano na laki tano) kwa maelezo zaidi 0717342771.
jaxonwaziri JF-Expert Member Joined Feb 17, 2010 Posts 375 Reaction score 195 Jan 19, 2014 #2 Weka picha wewe,kabla ya yote watu wajionee. Pia Details; Ya mwaka gani Transmission Imetembea Km ngapi Ni Mark II ipi Etc etc
Weka picha wewe,kabla ya yote watu wajionee. Pia Details; Ya mwaka gani Transmission Imetembea Km ngapi Ni Mark II ipi Etc etc
L LIGEDENGE 1 Senior Member Joined Nov 15, 2013 Posts 184 Reaction score 29 Jan 19, 2014 #3 Weka hata kapicha basi
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Jan 19, 2014 #4 Picha mkuu ndo kila kitu mimi nipo serious nahitaji usafiri. Na plate namba tuzione
M mbugot Member Joined Aug 7, 2013 Posts 42 Reaction score 37 Jan 19, 2014 #5 Picha na details zaidi. Mwaka, milleage, etc...
Alex ex-saviery Member Joined Aug 9, 2013 Posts 23 Reaction score 5 Jan 19, 2014 Thread starter #6 Najarib kueka pcha inagoma ila naweza nkatuma whatsapp kma uko interested
M mbugot Member Joined Aug 7, 2013 Posts 42 Reaction score 37 Jan 21, 2014 #7 Kama picha zimgegoma, at least weka details zaidi za gari kama uko serious kuuza gari lako.
Alex ex-saviery Member Joined Aug 9, 2013 Posts 23 Reaction score 5 Jan 27, 2014 Thread starter #8 pisha ndo hizo Attachments Sale 1.jpg 42.5 KB · Views: 188 Sale 2.jpg 32.1 KB · Views: 164 Sale 3.jpg 30.7 KB · Views: 132