PillowTalk
Member
- Sep 24, 2010
- 95
- 5
Excellent fuel consumption ndo' CC ngapi?naomba anaejua anieleweshe.
Mkuu ubora usingeweka picha maana hizo picha ndo zimeharibu kabisa. Kwa ushauri wangu uza milioni 2.
mkuu uko vizuri na maelezo hayo ya kina!!naomba referensi za magari hayo ya kisasa,ya diesel ama petrol zinazoweza tembea kms hizo kwa lita,niibox kama vipKuna uhusiano kati ya ujazo wa mitungi ya injini na utumiaji wa mafuta, japo sio wa moja kwa moja (inaytegemea na teknolojia iliyotumika). Ukizingatia gari ni la mwaka 1990, na ujazo wa injini ni 2.3lt (2300cc); anaposema excellent fuel consumption inategemea kwa standard zipi. Gari za diesel za miaka hii na ujazo huo zinaenda hata km 20 kwa lita (ikitegemea pia uendeshaji). Kama hiyo gari inaanzia km 15 kwa lita kwenda mbele, excellent fuel consumption itakuwa na maana.
mkuu uko vizuri na maelezo hayo ya kina!!naomba referensi za magari hayo ya kisasa,ya diesel ama petrol zinazoweza tembea kms hizo kwa lita,niibox kama vip