gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,211
New model spacio kwa ?bei nzuri
Zipo tatu zote katika hali nzuri
Zipo tatu zote katika hali nzuri
ameshataja mkuu..kasema bei mzuri...hahhaaa wafanya biashara wetu haoTaja na bei
Amalizie tuuone uzuri liveameshataja mkuu..kasema bei mzuri...hahhaaa wafanya biashara wetu hao
Muuzaji mwenyewe labd...Huyo mdada ameolewa??
ukinunua hiyo gari naye anakuwa wakoMuuzaji mwenyewe labd...
ukinunua hiyo gari naye anakuwa wako
Huyo Ni Dumeee Bhna ... Hebu Angalia vizuri miguu na hiyo BuktaHuyo mdada ameolewa??
milioni 20 kila gari.Taja na bei
12 kila mojaTaja na bei
ukinunua hiyo gari naye anakuwa wako
Ha ha ha ha ha ha haHuyo mdada ameolewa??
gali...gariKila gali milioni 12
Gari ni namba d kaka, pia kuiona inwezekanaKumjua Nina Dada Mani haihusu sana la MSINGI ni being na contact muhimu plate no ya gari pia ionyeshwe
nimependa hizo raba mdau tuongee bei aise