gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,383 Reaction score 7,227 May 16, 2019 #1 Habarini, Mwenye gari semi kichanja inayoweza kupiga hadi bunjumbura anicheki tufanye kazi,zinatakiwa gari 20. Kutokea dar
Habarini, Mwenye gari semi kichanja inayoweza kupiga hadi bunjumbura anicheki tufanye kazi,zinatakiwa gari 20. Kutokea dar
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,808 May 16, 2019 #2 Aaah! Tatizo deal nyingi za wana JF huwa sio za uhakika... Nyingi ni za kubabaisha tu. Huenda hili likatiki...
Aaah! Tatizo deal nyingi za wana JF huwa sio za uhakika... Nyingi ni za kubabaisha tu. Huenda hili likatiki...
gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,383 Reaction score 7,227 May 16, 2019 Thread starter #3 Mikopo Chefuchefu said: Aaah! Tatizo deal nyingi za wana JF huwa sio za uhakika... Nyingi ni za kubabaisha tu. Huenda hili likatiki... Click to expand... Kweli mkuu,vipi unazo??
Mikopo Chefuchefu said: Aaah! Tatizo deal nyingi za wana JF huwa sio za uhakika... Nyingi ni za kubabaisha tu. Huenda hili likatiki... Click to expand... Kweli mkuu,vipi unazo??
Lagrange JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 2,441 Reaction score 2,878 May 16, 2019 #4 Ngoja nitanunua tu mwakani:
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,490 Reaction score 14,566 May 17, 2019 #5 Mikopo Chefuchefu said: Aaah! Tatizo deal nyingi za wana JF huwa sio za uhakika... Nyingi ni za kubabaisha tu. Huenda hili likatiki... Click to expand... Umeongea ukweli mkuu. Wengi huwa wanapenda kujitutumua tu waonekane matajiri Sasa sijui huwa wanapata raha gani
Mikopo Chefuchefu said: Aaah! Tatizo deal nyingi za wana JF huwa sio za uhakika... Nyingi ni za kubabaisha tu. Huenda hili likatiki... Click to expand... Umeongea ukweli mkuu. Wengi huwa wanapenda kujitutumua tu waonekane matajiri Sasa sijui huwa wanapata raha gani