Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
Lav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : LAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU HALALI
PIGA. 0714 045 080.
UKITAKA PICHA UTATUMIWA KWA WHATSUPP....
atakuwa amekosea au alikuwa na maana ya love 4?LAV 4? Hii ni model mpya?
Lav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : LAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU HALALI
PIGA. 0714 045 080.
UKITAKA PICHA UTATUMIWA KWA WHATSUPP....
Nimekosea wakuu... ni Rav 4. Bei njoo inbox ya number hyo as ante..
Guys isiwe kesi hakuna biashara inafanyika kwa charting hiyo ni dondoo ukija inbox nakutumia picha ya gari na bei
kwa walio wasiliana na mimi inbox wamepata bei lakini mauziano ni mpaka uione gari uikague n.k najua nyinyi mnao taka kujua bei hampo tayari kununua gari ila mnataka kujua bei ili mkipata hela mnunue, sasa ikiwa unahitaji kujua tuu bei kuna
wadau wanajua saana bei za magari yard, au hata kwa kuagiza nje omba msaada wakusaidie lakini kwa hii mtu aje in box tunaongea biashara.. SAMAHANI LAKINI. ASANTE