Gari ya chini ya hizo cc ni passo, vits, porte, funcargo,ist na starlet!Natumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Hili ni dume linajilegeza utaliwa matacle.Hapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
TOYOTA SPACIO new model ndilo mkomboz wakoNatumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Hizi SUA nachowaza ndo hizo cc nisije nikashindea kuweka mafuta nimewaza chini ya 1500 kwa kua najua nitaweza kupambana service na mafuta
Natumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Depending na technology iliotumika ..1.5L ya premio na 2.0l D4D hazina utofaut mkubwa wa mafuta high way karbu sawa tu ,tena hio ya 2L faida ni more power
Ngoja na mimi niongezee Audi na VW kadhaa hapa kwenye list yako. Kwa bajeti yake atapata na Chenchi za kuzidi.Gari ya chini ya hizo cc ni passo, vits, porte, funcargo,ist na starlet!
Sasa sijajua unapenda ipi kati ya hizi
Mkuu napokea ushauri kwa maoni yakoYes nimemshauri pia asifocus sana kwenye Cc.
1500Cc ikiwa na AT inazidiwa na 1800Cc ikiwa na CVT.
I'm open minded kupokea mawazo mbadala kama mkuu ipo unaifaham ipo vizuri naomba nijuze maana mimi kidogo kwenye eneo hili ni mweupeDon't focus kwenye Cc za engine. Utaacha magari mazuri.
Kuna gari zina Cc zaidi 1500 na zinaweza kuwa zina consumption nzuri kuliko hata ambazo zipo chini kidogo ya hiyo Cc1500.
Labda useme hiyo gari utaitumia katika mazingira gani? Hali ya barabara? Traffic jam? Unahitaji ikupe Km ngapi kwa lita kwa mizunguko ya kawaida?
Tuanzie hapo.
toyota rush cc 1490, goes everywhere, drives 5 in comfort, manual or auto, within your budget. Need i say more?Natumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Asante kwa ushauri mkuutoyota rush cc 1490, goes everywhere, drives 5 in comfort, manual or auto, within your budget. Need i say more?
naunga mkono oja kwa asilimia mia moja, asichukua dualis ya dizeli achukue ya petrolLi Harrier la kaz gani...
Bora achukue Nissan Dualis cc 1900 safi kabisa.
Tatizo matunzo yatampiga K.ONgoja na mimi niongezee Audi na VW kadhaa hapa kwenye list yako. Kwa bajeti yake atapata na Chenchi za kuzidi.
Hivi harrier zina 4WD?Ni kweli, but gri ya cc chini ya 1500 nafikiri Lazima Ni saloon, then that budget ipo Juu kidogo!
Kwa nini usijisogeze a bit over 2000 mfano harrier Tako la na technology yake consumption na service Ni Rahisi?
Nashauri achana na salun car, go for suv, Ila for suv utapanda Juu kidogo cc Zake!
I'm open minded kupokea mawazo mbadala kama mkuu ipo unaifaham ipo vizuri naomba nijuze maana mimi kidogo kwenye eneo hili ni mweupe
Dunia kijijiTatizo matunzo yatampiga K.O
Unamfunga motaDunia kijiji
Gari kama kama Boksi la Nyanya mi hapana halinivutii gari shapelessKwa ushauri vuta Rumion, CC zipo chini almost unayotaka wewe pia inafaa kwa safari na zaidi kwa familia ina space na utafurahia ulaji wake wa mafuta.