Gari nissan tiida bei 4,500000/-

Gari nissan tiida bei 4,500000/-

nyuli

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
128
Reaction score
95
Gari nissan tiida inauzwa
Bei 4,500,000/-

Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter
Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/-

picha check attachments

Gari lipo Dar,maeneo ya Airport

0629068815
 
Attachments

  • IMG_20180515_085445.jpg
    IMG_20180515_085445.jpg
    133.4 KB · Views: 178
  • IMG_20180515_085449.jpg
    IMG_20180515_085449.jpg
    141.7 KB · Views: 153
  • IMG_20180515_085525.jpg
    IMG_20180515_085525.jpg
    110.2 KB · Views: 150
  • IMG_20180515_085633.jpg
    IMG_20180515_085633.jpg
    125.5 KB · Views: 143
  • IMG_20180515_085803.jpg
    IMG_20180515_085803.jpg
    127.2 KB · Views: 158
  • IMG_20180515_085808.jpg
    IMG_20180515_085808.jpg
    101.5 KB · Views: 127
  • IMG_20180515_085810.jpg
    IMG_20180515_085810.jpg
    117.4 KB · Views: 132
  • IMG_20180515_085811.jpg
    IMG_20180515_085811.jpg
    111.2 KB · Views: 128
  • IMG_20180515_085814.jpg
    IMG_20180515_085814.jpg
    109.7 KB · Views: 125
Gari nissan tiida inauzwa
Bei 4,500,000/-

Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter
Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/-
Mkuu,
Ukitaka kuuza gari we uza tu, mambo ya Service waachie wateja.
Maana hii ya kusema Service zote za kuweka Engine oil, Gear box oil, kubadilisha filter na ufundi zinafikia 500,000/= ni kutaka kuwaibia wateja.
 
Kwa nini unauza bei rahisi hivyo je Ina tatizo gani

Labda sababu Mimi siyo dalali hii gari ni yangu,angekua dalali hapo angeongeza zake juu,nauza sababu nimenunu gari nyingine hivyo hii inakaa muda mrefu bila kuendesha,sababu hua napaki tu nyumbani,mi ni mtu wa kusafiri safiri safari zangu natumia hii kubwa.
 
Tuwekee picha basi au tupe link kupatana.com
 
Labda sababu Mimi siyo dalali hii gari ni yangu,angekua dalali hapo angeongeza zake juu,nauza sababu nimenunu gari nyingine hivyo hii inakaa muda mrefu bila kuendesha,sababu hua napaki tu nyumbani,mi ni mtu wa kusafiri safiri safari zangu natumia hii kubwa.
Majibu yako mazuri mkuu. Ila ninavyojua oil ya injini hubadilishwa kila baada ya km kadhaa lakini oil ya gearbox hubadilishwa baada ya muda mrefu. Sasa gari yako ni namba DG bado mpya kabisa. Kwa nini ifanyiwe service zote hizo?
 
Ya kweli hayooo? Nissan gear box nzima kweelii? Sema tatizo nini ili mtu ajue anaanzia wapi. Ina maana ni hizo oil tuuu ulizotajaaa?
 
Majibu yako mazuri mkuu. Ila ninavyojua oil ya injini hubadilishwa kila baada ya km kadhaa lakini oil ya gearbox hubadilishwa baada ya muda mrefu. Sasa gari yako ni namba DG bado mpya kabisa. Kwa nini ifanyiwe service zote hizo?
Hiyo ni report ya checkup,baada ya kuipeleka checkup ndo nikapewa report hiyo mkuu,sasa mimi siyo fundi nikaipokea report,itakua ni vizuri nikakuelekeza kwa jamaa walio fanya checkup ukaione na uulize maswali zaidi kama upo Dar.

Nimekuwa muwazi,mara nyingi najua kama mtu anataka kununua wengi wanakuaga na mafundi wao anaweza akaiangalia kama labda ina tatizo jingine yaani afanye Testing
 
Mkuu,
Ukitaka kuuza gari we uza tu, mambo ya Service waachie wateja.
Maana hii ya kusema Service zote za kuweka Engine oil, Gear box oil, kubadilisha filter na ufundi zinafikia 500,000/= ni kutaka kuwaibia wateja.
Kabisa aiseeh. Sijawah kusikia gari ndogo service yake bei kubwa namna hiyo nkahisi mie mshamba. Maana vigari vidogo service haizidigi laki1- 1.2
 
Ila kama inahitaji gear box oil..tujue kua nissan nyingi zinatumia fluid matic J...ambayo lita 1 tu ni 55,000 pale kisangani msimbazi au mastercard...sasa ikiwa ni lita 4 unaona hapo... engine oil ni bp standard au premium ambazo lita 5 ni 60,000 .

Mi nachouliza kwa upya huo gear box oil imechokaje
 
Ila mkuu fanya hivi...
Taja mwaka wa kutengenezwa gari YOM
ukubwa wa injini cc
Status ya vibali vyake
Manual au automatic
Kama bei ni fixed au maongezi yapo
Etc
Kama ina mziki ..sports rim

Hizi ni taarifa za msingi unapouza
 
Ila mkuu fanya hivi...
Taja mwaka wa kutengenezwa gari YOM
ukubwa wa injini cc
Status ya vibali vyake
Manual au automatic
Kama bei ni fixed au maongezi yapo
Etc
Kama ina mziki ..sports rim

Hizi ni taarifa za msingi unapouza
MAKE OF VEHICLE =NISSAN
MODEL =TIIDA LATIO
TYPE OF BODY =SALOON
C.C =1493
YEAR = 2005
SEAT = 5
TRANSITION =AUTOMATIC
BEI NI FIXED

INAVIBALI VYOTE VYA KUTEMBEA BARABARANI HADI MWAKANI FEBRUARY
 
MAKE OF VEHICLE =NISSAN
MODEL =TIIDA LATIO
TYPE OF BODY =SALOON
C.C =1493
YEAR = 2005
SEAT = 5
TRANSITION =AUTOMATIC
BEI NI FIXED

INAVIBALI VYOTE VYA KUTEMBEA BARABARANI HADI MWAKANI FEBRUARY
Duuh aisee.
 
huwez kuwa siriaz
Nini mkuu. Mie nnaongelea hivi vi baby walker vyetu sijawah kusikia vinakula service ya pesa hiyo. Labda mie mshamba niambie baadhi zinazofikia hiyo pesa
 
Back
Top Bottom