Gari Nissan Morano inauzwa

Gari Nissan Morano inauzwa

Kuna jamaa yangu ana hiyo gari imagine kwa ubahili wake ishu ya wheel alignment & balancing inataka kumgharimu matairi mapya manne. achilia mbali service zingine ambazo ni routine kwenye gari.
Haaaahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....fakeni kabisa!
 
Aisee nisssn murano model ya 2004 gharama zote mpk kodi ni mil 18 inakua barabarani,wewe unaweka mil 16 afu no. Yenyewe ni C.
Hata mi nashangaa mzee
Anayetaka mpya mi ninayo Mil 18 TZS
Tembelea thread yangu utaiona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom