Gari Nissan Morano inauzwa

Gari Nissan Morano inauzwa

Yaaa morano hiyo

Unauza gari hata kusoma jina lake hujui, unafanyaje biashara mkuu? Fani ya udalali huwa ni ya watu fulani dizaini hivi, sielewi ni kwa nini. Utasikia nauza Lava 4! Prado Mayai, Toyota Kuluger
 
Mkuu,
Kawaida binadamu hulijua neno kwa kupitia njia mbili, (1) kulisikia na (2) kuliona/kulisoma limeandikwa. Sasa wengi wa hawa jamaa njia ya kwanza ndio kuu kwao, ya pili ni nadra sana.

Yaani hawakusoma sana kipindi walipaswa wasome, na hata sasa hawajishughulishi kusoma au kujisomea vitu mbalimbali. So kila kitu hutegemea kukijua kwa kukisikia kikitamkwa tu.
 
Aisee nisssn murano model ya 2004 gharama zote mpk kodi ni mil 18 inakua barabarani,wewe unaweka mil 16 afu no. Yenyewe ni C.

Acha uzwazwa kuwa na mawazo ya ‘kiswahili’ mtu umesoma mpk umeweza kulog in Jf
 
Hatimae murano nazo zimeingia sokoni kwa bei ya kutupwa!...this is the first time[emoji15] [emoji15]

Kuna rule moja ya mbongo kuuza gari ni mara chache sana kwa ajili ya kubadilisha fashion most of time utakuta gari ina msala fulani hivi. I hope unayajua magari vizuri hasa unapozembea maintenance kinachofuata ni kuliuza tu.
 
Mkuu,
Kawaida binadamu hulijua neno kwa kupitia njia mbili, (1) kulisikia na (2) kuliona/kulisoma limeandikwa. Sasa wengi wa hawa jamaa njia ya kwanza ndio kuu kwao, ya pili ni nadra sana.

Yaani hawakusoma sana kipindi walipaswa wasome, na hata sasa hawajishughulishi kusoma au kujisomea vitu mbalimbali. So kila kitu hutegemea kukijua kwa kukisikia kikitamkwa tu.

ndio, naelewa hawakwenda shule, lakini kipi ni rahisi zaidi kuki master, unachokisikia au unachokiona usoni mwako kimeandikwa MURANO?

img-20181020-wa0034-jpg.905328

Washukuru hawauzi Chevrolet, Renault, Lamborgini, Porsche, Jaguar...
 
ndio, naelewa hawakwenda shule, lakini kipi ni rahisi zaidi kuki master, kwa kusikia au kukiona kitu usoni mwako kimeandikwa MURANO?

img-20181020-wa0034-jpg.905328

Washukuru hawauzi Chevrolet, Renault, Lamborgini, Porsche, Jaguar...
Hawa ni makanjanja tu mkuu.,hawana passion na magari bali ni njaa tu ndo zimewafanya waingie kwny hizo fani.
 
Kwa kweli hawana passion na magari sababu wengi wao wenyewe hawana magari. Na hawana passion ya kujisomea somea au shule kwa ujumla, hawawezi kuyaelewa haya magari.
 
Kuna rule moja ya mbongo kuuza gari ni mara chache sana kwa ajili ya kubadilisha fashion most of time utakuta gari ina msala fulani hivi. I hope unayajua magari vizuri hasa unapozembea maintenance kinachofuata ni kuliuza tu.
Absolutely yes....Chief umenichekesha coz umekumbuka ule usemi wangu!
 
Kuna jamaa yangu ana hiyo gari imagine kwa ubahili wake ishu ya wheel alignment & balancing inataka kumgharimu matairi mapya manne. achilia mbali service zingine ambazo ni routine kwenye gari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom