Gari New model inauzwa

Gari New model inauzwa

nyamchele

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,325
Reaction score
1,039
Gari inauzwa.jpg
 
Niliwahi kuliona hilo gari kwenye msafara wa Jk
 
Mimi naitaka weka bei kwanza

Mkuu tangaza dau jamaa hana hiana.....chukua mkoko huo utese mjini....amekupa wewe first priority inaonekana uko serious ingawa maombi ni mengi sana.......
 
Mkuu huko hakuna madalali kweli.....mwenyewe hataki madalali....biashara mbichi hiyo!

Mkuu nyamchele naogopa kuingizwa mjini bila kuandikishana. Si unaona mzigo wenyewe bonge la MPAPANJE ndugu yangu
 

Attachments

  • 1426869279695.jpg
    1426869279695.jpg
    38.1 KB · Views: 432
Last edited by a moderator:
Mkuu tangaza dau jamaa hana hiana.....chukua mkoko huo utese mjini....amekupa wewe first priority inaonekana uko serious ingawa maombi ni mengi sana.......
Mimi siwezi kujiumiza mwenyewe weka bei kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom