Gari ndogo ya kukodi

Gari ndogo ya kukodi

22nd

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2010
Posts
494
Reaction score
137
Rafiki yangu anatokea mwanza, anaenda Dar for 3 weeks on October, anatafuta gari ya kukodisha(self driving) kwa muda huo.
Dau lake ni 150,000 kwa wiki.
Kwahiyo kama una gari ndogo(body na engine) na ipo available please ni pm
 
Ninayo Nissan Sunny, sedan, cc=1490 ninaweza jadiliana.

Karibu.
 
Asanteni sana, nimeshapata mtu wa kukodi, next time nikiwa na shida nitarudi hapa hapa. nawashkuru sana kwa wito wenu.
 
Poa mkuu!mm watu tumeona thread ukiwa umesha conclude!wengine tungekupatia vitz kwa elfu 80 per week!ila jamaa tusimharibie deal lake!
 
Poa mkuu!mm watu tumeona thread ukiwa umesha conclude!wengine tungekupatia vitz kwa elfu 80 per week!ila jamaa tusimharibie deal lake!

wow, sasa na wewe ulikuwa wapi, this is too cheap ila siwezi tena kubadilisha, nitaonekana sina maana, next time nitakutafuta, kama vp ni pm contact zako
 
Back
Top Bottom