Gari - Millioni 3.5

magesa77

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Habarini za leo wana JF, Nina ndugu yangu anatafuta gari bajeti ni Millioni 3.5. Mwenye nayo tafadhali nipM au wasiliana name kupitia 0778101177, unaweza pia tuma picha kwa Whatsaap kwenye namba hiyo hapo! Gari iwe Dar es Salaam.
 
Niko na Passo namba DDR aongeze nimpe kwa 6.5 non-negotiable
 
Tuilenge bajeti tajwa hapo juu, ndo uwezo wake ulipokomea!
 
Ok 6.5mln .. Elli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…