Mmh! Aku hil haliniusu maan cna hat mkokoten wa kubeba maji!
Likikaa muda mrefu laweza kuwa na kutu (rust) kwenye baadhi ya vitu muhimu kwakuwa humidity (amount of water vapor in the air) inaweza kuingia kwenye vyuma vya gari. Kumbuka kutu (rust) reaction of iron and oxygen in the presence of water or air moisture eg. humidity. Kwahiyo mkuu kuliacha muda mrefu huenda ukaja ukaingia gharama kubwa kubadili baadhi ya vipuri hasa ambayo vinaweza vikawa exposed easly na humidity. Hakikisha japo linawashwa hata kwa robo saa au zaidi japo salience hata kwa wiki mara mbili sio mbaya. Ila likitembea hata kama ni mita 20 sio mbaya ili mradi kila kifaa kiwe in rotation hususani kwa vile ambavyo vina rotate.
Ni ushauri wangu tu according to different engines I have met in my site.

Ilishawahi nitokea exactly kama hivyo, gari ilikufa betri, nikasafiri kwa miezi kama nane, niliporudi badala ya kununua betri peke yake (kama laki na ishirini) nikatumia zaidi ya milioni na nusu kuirudisha sawa.
Hizi engine za siku hizi zina vitu vingi vya automatic, kurekebisha hewa inayoingia kwenye engine, mafuta, silence, air condition na kadhalika, vikipata kutu kidogo tu gari linasumbua mbaya.
Nakushauri kama utakaa zaidi ya miezi mitatu, tafuta mtu wa kuliwasha na kulitembeza kidogo, hata mara moja kwa wiki, ukirudi fanya full service kisha piga misele kama kawa. Usidharau ndugu yangu yameshanikuta!
Siyo kweli kwamba kama huna gari ndiyo hata uelewa unakuwa hauna. Inawezekana ukawa haunalo ila unajua mambo kuzidi hata wamiliki wa magari.
Hata kama hujui unaweza pia kujifunza kitu hapa kikakusaidia mbeleni. Kumbuka hakuna aliyezaliwa na gari kutoka tumboni kwa mamaye. Ni vitu vinatafutwa na vinapatikana tena hakuna aliyezaliwa akaandikiwa kuwa na gari au asiwe nalo. Hivyo nakukaribisha kwa ushauri au hata kusoma comments za watu uongeze maarifa.
bahati mbaya natumia opera browser. pokea like hiyo kiongozi kwa namna ulivyojibu hoja ya mdau.
wengine wakipata response kama hizo ndo na matusi na kebehi huanza