Sio watu wote wana access na facebook page yako. Kama umeona picha uziweke facebook lazima uliona huko ndio kuna wateja, hapa ungepa potezea tu, nani akakutafute kwenye facebook? Matangazo mengine bana ya ajabu sana, eti comprehensive insurance, insurance yako wewe inamsaidia vipi mnunuzi wa gari?