nipo dar ila n nzima?Mkuu kama uko tayari M moja nakupa uko Dar?
isiwe na den tra, isiwe na matatizo ya kiufundi. weka namba yako ya simu ili niweze kukupogia tuongee vizurMkuu kama uko tayari M moja nakupa uko Dar?
ni uoga wake tu, angewasiliana na mimi ningeinunua na kuibadilisha gear box na ningeiuza sa mtu mwenyewe kasepa dah! roho imeniuma! chonde chonde we unaeiuza hyo mark ii jitokeze bas tufanye biashara plz!Hahaha Frank mzee ulikuwa unaisalandia nini?
Jamaa kaona watu wameanza kuponda kasepa kwa presha
Kula milioni 1, ukikubali nakupigia kwa kufundishia driving course
Kula milioni 1, ukikubali nakupigia kwa kufundishia driving course
Kula milioni 1, ukikubali nakupigia kwa kufundishia driving course
ni uoga wake tu, angewasiliana na mimi ningeinunua na kuibadilisha gear box na ningeiuza sa mtu mwenyewe kasepa dah! roho imeniuma! chonde chonde we unaeiuza hyo mark ii jitokeze bas tufanye biashara plz!
Haya nimepunguza bei karibuni. Ahsante