Gari linauzwa Mark ii

Gari linauzwa Mark ii

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
501
Reaction score
525
Gari mark II manual, cylinder sita, liko katika hali nzuri unawasha na kutembea injini iko vizuri kupita maelezo linauzwa kwa Tshs 2.4 M
 
Attachments

  • 2013-04-24 18.21.26.jpg
    2013-04-24 18.21.26.jpg
    91.2 KB · Views: 1,921
  • 2013-04-24 18.09.53.jpg
    2013-04-24 18.09.53.jpg
    102 KB · Views: 823
  • 2013-04-24 18.11.02.jpg
    2013-04-24 18.11.02.jpg
    108.9 KB · Views: 779
  • 2013-04-24 18.11.38.jpg
    2013-04-24 18.11.38.jpg
    87.3 KB · Views: 768
  • 2013-04-24 18.20.19.jpg
    2013-04-24 18.20.19.jpg
    83.8 KB · Views: 746
nimekuwa nafuatilia uchumi wa Brazil ambapo wanasema uko kwenye recession na moja ya kampuni zenye matatizo ni ile iliyopo Tanzania maeneo ya Mtwara ikitafuta gesi. Ndio nashtuka sasa kuwa hata hapa kwetu tuko hoi kiuchumi lakini hatusemi.
Yasingekuwa hayo wallah na mimi ningemiliki gari leo! Mbona hujatuwekea namba ya usajili lakini!?
 
comment yako ina mchango gani katika biashara ya mwenzio?au ni lazima ucomment?nimeona katika matangazo mengi ya biashara humu katika hili jukwaa yanapokea comment za kumkatisha mtu tamaa kutoka kwa watu ambao hawapo interested hata na bidhaa yenyewe ukiachilia mbali uwezo wa kununua,au hii slogan "home of great thinkers"ndio kigezo cha kufikiria hata yasiyofikirika?tubadilike wabongo,online classified ndo inashika kasi sasa,hivyo tusipoweza kuendana na kasi hiyo tutabaki hapa hapa,mbona kwenye matangazo ya TV na redio mlikuwa hamcomment.tangazo lina response za aina tatu,positive response(hii ni ikiwa limefanikiwa kukutana na demands za muhitaji)neutral response(hapa ni ikiwa mtu kutokuwa na uhitaji wa bidhaa husika,aidha kwa kutoridhishwa na bei au ubora,hapa mtu unapita zako tu)negative response(hii haina tofauti kubwa na neutral,ila hapa unaweza kucomment ikiwa kinachotangazwa ni tofauti na muonekano wa bidhaa halisi,mfano mtangazaji kasema nauza gari mpya,automatic,rangi nyeusi metallic.ukiangalia picha unaona gari nyeupe halafu manual!)tuboreshe jukwaa letu kwa manufaa ya ukuaji wa uchumi wa ndani.moderators kwa mtazamo wangu kama mngeanzisha utaratibu wa kufilter baadhi ya comments zisizo na lazima,watu wangekuwa na mafanikio kwenye biashara zao.nawasilisha hoja
 
Kiongozi iweke juu ya mawe ili watoto wako wajue kwamba ulishawahi kuwa na gari au ipeleke makumbusho ya taifa ili vizazi vijavyo vijue tanzania kushawahi kuwa na hii gari.
attachment.php
 
Kiongozi iweke juu ya mawe ili watoto wako wajue kwamba ulishawahi kuwa na gari au ipeleke makumbusho ya taifa ili vizazi vijavyo vijue tanzania kushawahi kuwa na hii gari.
attachment.php

Wacha dharau kwenye biashara za watu kuchangia uzi wa mtu sio lazima uandike kitu hata kwa kusoma tu na kupita kimyakimya utakuwa umechangia pia.
 
nimekuwa nafuatilia uchumi wa Brazil ambapo wanasema uko kwenye recession na moja ya kampuni zenye matatizo ni ile iliyopo Tanzania maeneo ya Mtwara ikitafuta gesi. Ndio nashtuka sasa kuwa hata hapa kwetu tuko hoi kiuchumi lakini hatusemi.
Yasingekuwa hayo wallah na mimi ningemiliki gari leo! Mbona hujatuwekea namba ya usajili lakini!?
Mkuu hapo unataka kumiliki gari au kurithi matatizo
 
Hata laki 5 sinunui, peleka kwa wakataji wa magari kwa ushauri wa bure. Namba za usajiri umeficha na hiyo inaonekana inadaiwa sana Motor vehicle licence
 
Ndugu ushauri watu wanaulipia wanaitwa consultant, sikuja kuomba ushauri, hivi ukipita kama huna cha kusema kuna mtu atakufuata.
 
Mpigaji picha alikuwa makini sna kuhakikisha in any way reg no haionekan, nahisi hili ndilo lililompa tenda ya kazi, friend of mine alinunua gari kama hilo weee mwisho wa siku anajua kila spear part ya gari na zinakopatikana kwa bei chee, mfumo wa engine wote sas anaujua, kwa sasa anakaribia kupata chet cha uhitimu wa umeme wa magari na utambuzi wa mafund fekero na oreginero.
If u wanna be his naniii-mate this car is the admission letter.
 
dah comment zote zilizotolewa na wadau zimenifurahisha sana. Naomba ushauri wowote uliotolewa uzingatiwe ila kama mambo bongo yako hivi wallahi bora niagize gari japani,
 
Frank Jb pitia huku..
Di Ty, una utani wewe! hiyo gar ingekuwa automatic ningefikiria kuichukua lakin manual na folen zetu hizi mpaka unafika nyumban mguu wa kushoto umechoka kwa kuikanyaga cluch!
 
Di Ty, una utani wewe! hiyo gar ingekuwa automatic ningefikiria kuichukua lakin manual na folen zetu hizi mpaka unafika nyumban mguu wa kushoto umechoka kwa kuikanyaga cluch!

hahaha.. Sawa mkuu
 
Kiongozi iweke juu ya mawe ili watoto wako wajue kwamba ulishawahi kuwa na gari au ipeleke makumbusho ya taifa ili vizazi vijavyo vijue tanzania kushawahi kuwa na hii gari.
attachment.php

Mkuu acha dharau,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom