Passo C.I.F to Dar. Ya mwaka 2005 ni dolla 2000 ila KM ni kuanzia 80000 kwenda juu. Ukitaka ya KM chini ya 50000 basi andaa kama 2500 kwenda juu.
Na gari chini ya mwaka 2005 unaweza kupata kwa dolla 1900 ila ujue itakuwa na KM za kutosha.
Bei zote ni C.I.F to dar