Gari lazama Pharmacy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari lazama Pharmacy

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Laptani, Dec 30, 2011.

 1. L

  Laptani Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Alasiri ya tulishuhudia gari dogo aina ya Caldina likitoka kasi ndani ya mahakama ya Maromboso hapa mjini Arusha na kuzama ndani ya duka la dawa.
  Majeruhi 2 hawakuumia sana zaidi ya majeraha ya vioo vilivyowapasukia.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,486
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  kwa nini?dereva alikuwa amelewa?
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Lilikuwa na wahalifu au?
   
 4. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hiyo kali! Lakini lazima pana ishu.
   
Loading...