Gari la Miss Tanzania 2018.

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
Hii ndilo gari atakaloshinda miss Tanzania 2018

nini maoni yako
 
Fuel consumption si kubwa, walau wamezingatia gharama za uendeshaji kwa mshindi.

Used Japan used Bongo.... Labda kama macho yangu yameona vibaya.
 
Gari ina sura mbaya.
 
Reactions: CTX
Kutukanwa sio lazima matusi,

Haya ni matusi ya waziwazi
 
Reactions: CTX
Aysee inaweza kuwa kweli coz panafanana na JICv
 
Reactions: CTX
Dalili zilionekana awali tangu mashindano ya Miss Mwanza.
 
Reactions: CTX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…