Habari zenu wakuu,
Jamani inahitajika gari ya kukodishwa.
- Aina: Noah
- Model: Yoyote
- Jambo kubwa iwe vizuri, katika msingi wa muonekano, uzima na vibali.
- Location: Dar Es Salaam.
- Duration: 1 Week.
Kama unayo, unakaribishwa tuzungumze kwa mawanda mapana.
Asante.