fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,626
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wakisema baby walker unashida gani? Wamekusaidia kununua?[emoji3][emoji3]
Achana na uwezo wa gari, wewe mwenyewe huna huo uwezo wa kuendesha dar -mwanza non stop!!Pambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haswa hapa ndo nilikuwa sielewUsiumie ndugu wengi wao wanaita hilo jina aidha hawana gari aina yoyote au kama wanazo ni ulimbukeni tu,kama ni udogo mbn zile convertible hawaziiti?
Shida sio kuwa na SUVPambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haka kababy walker kana cc 2360 sio sawa na Ist unasafiri nako Dar mwanza bila shida yoyote so usidharau baby walker kwasabb wewe una SUV [emoji16]View attachment 1977736Pambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hiyo yenye engine ya 2.4l Siyo baby walker. chini ya cc 1500 ndo baby walker Mkuu.Shida sio kuwa na SUV
Kuna baby walker inaitwa toyota blade cjui unaifahamu ??
Engine yake Ina 2.4L
Sent from my phone using JamiiForums mobile app
Mini cooper???, Volkwagen golf ???Hiyo yenye engine ya 2.4l Siyo baby walker. chini ya cc 1500 ndo baby walker Mkuu.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hahahaha najua mkuuUtani wa kawaida tu...
Usikuumize kichwa...
Tumewahi fuatana na kirikuu toka moro usiku mpk njia panda kasumulu kilikuwa kinaenda malawi tena wastani wa speed ulikuwa karibia 100km/h kimahesabu,kitu unachoshindwa kuelewa uzito wa gari unawezana na uwezo engine iliyomo ni suala la hesabu tu.Pambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asante Mungu. Bora ki corsa changu hakikutajwaBABY WALKER
Imezoeleka humu jukwaani magari mengi madogo kuitwa baby walker sana sana gari za Toyota kama IST,Vitz na Passo.
Lakini leo nitatoa maoni yangu kuhusu hizi baby walker.
Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba asilimia kubwa ya gari ambazo zinaitwa baby walker ziko classified kama hatchback. Baadhi ni mini MPV, mini SUV na Station wagon
Hatchback ni muundo wa gari ndogo ambazo zinakuwa na milango mitatu ama mitano.
Karibia kila kampuni ya kutengeneza gari duniani huwa wanatengeneza muundo huu wa gari (hatchback) ambao huku JF unaitwa baby walker.
Hapa chini ni orodha ya gari ndogo mbalimbali nyingi zikiwa hatchback ambazo huku JF zinaitwa Baby walker
- Gari nyingi zenye cc chini ya 1500 au chini ya cc 2000
- Gari ndogo zote za Toyota (hapa ndo huwa sielewi kabisa unakuta Toyota yoyote inaitwa baby waker ila minicooper ambako na kenyewe ni kaogo kanasifiwa kuwa sio baby walker )
- Gari za Toyota kwasabab zipo nyingi sana mfano IST kila kona zipo so watu wakaona waziite hivyo.
- Kwasabab zipo nyingi hii inapelekea kuonekena hawana umakini barabarani ie kutanua bila sabab,kuovertake hovyo.
1. TOYOTA
Vitz,Passo/Boon,Sienta,Bb,Raum,Ractis,Ist,Starlet,Auris,Runx/Allex,iQ,Funcargo,Cami/Terios kid/Rush/Bego,Rumion,Aqua,Spacio,Celica,Duet/Storia,Pixis epoch, Will cypha,Will VS,Blade
2. NISSAN
March/Micra,Note,Cube,Moco,Tiida,Otti,Pino
3. SUBARU
Pleo plus, Trezia, Imprezza,
4. BMW
1 series, Mini cooper, Mini crossover
5. HONDA
Fit, Jazz, Accord, Civic, CR-Z, Insight
6.SUZUKI
Swift/Cruze/Splash,Kei,Wagon R,Alto,Jimny,Solio,SX4
7.MITSUBISHI
Colt,Mirage,
8.AUDI
A3,
9.VOLKSWAGEN
Up,Polo,Golf,Touran
10.MERCEDES BENZ
A class,B class
11. MAZDA
Demio,Verisa,AZ wagon, CX 3,Flair
12. FORD
Kuga, Fiesta,Focus,Ka
Ukifuatilia vizuri utagundua kuwa Toyota wana model za hatch back nyingi ambazo pia kwa wingi wake na hapa Tz zipo nyingi hivyo kupelekea jina la Baby walker.
So naweza kuconclude kwa kusema kwamba japo baby walker nyingi zinazotukanwa ni za kutoka kampuni ya magari ya Toyota vile vile zipo baby walker nyingi za kampuni nyingine kama Nissan,Bmw,Honda etc. Msiwatukane sana wamiliki wa Mijepu mnawaonea wengi wao ndo gari zao za kwanza kumiliki.
Karibuni team Europe( benz,bmw,audi,Volvo,skoda na wengineo) na team japan (Toyota, Nissan, Subaru, mitsubitsh, Honda na wengineo) mtoe maoni yenu.
NB. Hayo ni maoni yangu

[emoji23][emoji23]dahAchana na uwezo wa gari, wewe mwenyewe huna huo uwezo wa kuendesha dar -mwanza non stop!!