Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,103
- 2,127
Habari zenu wakuu? Jana katika pita pita zangu kuna Rafiki yangu aliniambia hivi ''Gari yangu ina gia tano lakini nashangaa nikiwa katika mwendo na natembelea namba tano huwa inadai gia wakati gia nishamaliza'' nikawa najiuliza hivi hii inawezekana au labda kuna mtu aliiharibu? Msaada wenu tafadhari AHSANTENI
Manual MkuuHiyo gari ni auto au manual?
Lazima itakua manualHiyo gari ni auto au manual?
La kukokotwa na maksaiGari aina gani?
Ahsante sana, au inawekana giabox na mashine vikawa tofauti yaani mfano giabox ya rav4 mashine ya v8?Inategemea iyo gia no 5 yuko kwenye speed ngap?maana kama gia no 5 uko speed 60,80 lazma idai gia nyingine wakat ndio mwisho wake hapo
Ikidai nyingine na wewe umeshamiliza dawa yake chomoa kirungu weka kwapani kanyaga mafutaInategemea iyo gia no 5 yuko kwenye speed ngap?maana kama gia no 5 uko speed 60,80 lazma idai gia nyingine wakat ndio mwisho wake hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo mizuka yake tu ndo inayodai gia ni sawa tu na waendesha bodaboda mpaka wanajikuta mitaroniLa kukokotwa na maksai