Gari Kluger new model inauzwa

Gari Kluger new model inauzwa

Mnyika

Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
9
Reaction score
0
Gari Kluger new model ya 2012 inauzwa ni namba DEF picha hiyo ni kabla haijawekwa namba bei 60m maongezi yapo dalali hatakiwi ukitaka tuwasiliane ni PM
IMG-20161212-WA0001.jpg
 
Kwa tangazo hili unafikiri utafanya biashara ?.Are you serious ?
 
Basi yeyote mwenye mnunuzi ajitokeze ila awe serious
 
Sawa gari CC 3456,Fuel Petrol, tax full paid,kilometer 22,000 anayetaka taarifa zaidi anakaribishwa
 
Hata mimi nisingekubali tuwe waheshimiwa madalali wawili ila unambwebwe dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom