Gari ist for sale

Gari ist for sale

Tich

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
47
Reaction score
0
TOYOTA IST ya mwaka 2003 used lenye namba T ###CCY white colour ipo kwenye hali nzuri bei mil 11 maelewano yapo kidogo more info Pm ntakupa namba za mawasiliano incase ukitaka kuliona sorry kwa nyie mtakaoomba picha hapa for serious buyer only
 
TOYOTA IST ya mwaka 2003 used lenye namba 925CCY white colour ipo kwenye hali nzuri bei mil 11 maelewano yapo kidogo more info Pm ntakupa namba za mawasiliano incase ukitaka kuliona sorry kwa nyie mtakaoomba picha hapa for serious buyer only

Unadhani watu wananunua wasichokiona?
Pole mdau na wewe. Usitegemee kuuza hapa kama hujaweka picha watu walithaminishe.
 
Weka picha kama unauza. Wanaweka picha Car Junction,SBT Japan,Be Forward nk,utakuwa wewe. Kwani wao hawawataki serious buyers?
 
Weka picha kama unauza. Wanaweka picha Car Junction,SBT Japan,Be Forward nk,utakuwa wewe. Kwani wao hawawataki serious buyers?

Uijui IST wewe tatizo c picha uje uione live kama una pesa nikuwekee picha haitoshi serious buyer ata ni PM
 
Back
Top Bottom