Gari IST au spacio inahitajika

Dallas green

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
1,702
Reaction score
3,421
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu, inahitajika gari aina tajwa apo juu kwa mmiliki halali wa gari iyo na anataka kuiuza basi anitumie picha na price yake inbox mim sio mfanya biashara ila nahitaji kununua second hand so kwa namna flani kwa njia hii naamini ntapata gari nzuri bila kupitia dalali.
 
Weka ofa yako mkuu,
 
Njoo Ofisi ya Prime Minister nikupe link ya mdau wa magari.
 
Sasa hujasema unapatikana wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…