Gari inauzwa

Gari inauzwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Gari aina ya toyota carina inauzwa iko mikocheni, ni manual na inatumia diesel ni nzuri sana na haina tatizo lolote
Inamilikiwa na mmama na sababu yakuuzwa ni kuwa mmiliki amenunua gari lingine sasa ibabidi apunguze aliyokuwa nayo kabla kwani hatoweza kuyatumia yote kwa wakati mmoja
Tafadhali kama unataka gari njoo ulione kabla hujafanya uamuzi maana ni gari nzuri sana
Wasiliana nami kwa simu namba
0716 85 06 95

Tupo karibu na kituo cha victoria mikocheni
 
Nawashukuru wote kwa ushirikiano gari imeshapata mteja na ameshaondoka nayo, god bless u a lot.
 
Back
Top Bottom