Gari inauzwa ...

deny_all

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
431
30
Gari yenye specs hizi hapa chini inauzwa.

MODEL:
Suzuki Escudo

PRICE:
9,000,000 TZS

YEAR:
1993

ENGINE SIZE:
1590 cc

SHIFT TYPE:
Manual transmission(5 speed)

ENGINE MODEL:
G16A

MILEAGE:
191,000km

FUEL:
Petrol

COLOR:
Dark green

DRIVE-TRAIN:
Rear wheel drive with part-time 4WD

OTHERS:
Sunroof, Power windows & mirrors, metal front bumper(custom made), front new tyres,

CONTACT:
Nitumie private email for serious buyers
 
Mercedes -Benz Inauzwa:
Aina ya Gari: Mercedes -Benz (Germany)
Mode: E:200
Year of Manufacture:1992
Price: 10Million.
Contact Address: 0714 526 888
 
Attachments

  • M-Benz.JPG
    M-Benz.JPG
    148.5 KB · Views: 133
PRICE:
9,000,000 TZS

YEAR:
1993

MILEAGE:
191,000km

Mkuu hapo sasa naona sijui kama kuna mtu atapatikana,watu wengi wananunua gari kuanzia 70,000km na kushuka,sasa hapo mkuu huo mwaka,bei na hizo km sijui,Lakini kila lakheri.
 
angeweka na picha ingekuwa Mswano
 
mkuu kwa gar za miaka hiyo na hizo milage ...sidhan kma kwa bei hiyo utapat mtu...kaka unauza kwa bei uliyonunulia miaka ile..
 
Gari yenye specs hizi hapa chini inauzwa.

MODEL:
Suzuki Escudo

PRICE:
9,000,000 TZS

YEAR:
1993

ENGINE SIZE:
1590 cc

SHIFT TYPE:
Manual transmission(5 speed)

ENGINE MODEL:
G16A

MILEAGE:
191,000km

FUEL:
Petrol

COLOR:
Dark green

DRIVE-TRAIN:
Rear wheel drive with part-time 4WD

OTHERS:
Sunroof, Power windows & mirrors, metal front bumper(custom made), front new tyres,

CONTACT:
Nitumie private email for serious buyers
Hii gari ni ya zamani sana, sana sana uuze milioni 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom