boboo inaelekea we biashara huijui kabisa,ielezee bidhaa vizuri mfano gari ya mwaka gani,imetembea kilomita ngapi ikibidi weka na picha kabisa kuvutia watu.,kalaga bahoToyota Sprinter AE110,inauzwa iko katika hali nzuri sana,bei ni 8m, maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi PM.
Naweka picha,hii gari ina radio,full ac,haijapata ajari yeyote,injini haijaguswa na magurudumu yapo katika hali nzuri sana.