Gari Inauzwa

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
[h=5]Gari inauzwa
Year:1987
Condition:Good
Engine:1500 cc
Model:Toyota Corolla
Transmission: Manual
Location: Dar es Salaam
Reason for sale: User travelling
Price: 3.5 million Tanzanian shillings(price negotiable)
Contacts:0713 713198
jaxnales@gmail.com
Find pictures attached[/h]
 
Wakuu picha zinanipiga chenga kuweka attachment, but soon nikifanikiwa nitaweka. Samahani kw ausumbufu utakaojitokeza.
 
Duuuuuh gari ya Mwaka 1987 ! peleka kauze chuma chakavu.
 
Nimependa Reason for sale; next tym andika reasons for sale owner Fed up

Hiyo siku hizi ndio imekuwa kauli mbiu ya sasa kila mtu ndio huwa sababu yake maana na sie wabongo akitaja sababu nyingine atashushwa sana kwa kumwona anashida
 


Haya picha zimekubali gari lenyewe hilo hapo, swaaaaafiiii.
Limelipiwa kila kitu, matairi bado yanalipa sana yaani kiufupi halina shida.
 
 
Hiyo siku hizi ndio imekuwa kauli mbiu ya sasa kila mtu ndio huwa sababu yake maana na sie wabongo akitaja sababu nyingine atashushwa sana kwa kumwona anashida
Ulitaka niandike Reason: User Sick???? au unataka niandike unachofikiria wewe? natoa reason kwendana na uhalisia, sio nijisumbue kufikiria some "Jodoki Kalimilo" anafikiria nini....!!!!
 
 
Usihofu nilikuwa namjibu mdau alipokuwa ame-comment reasons for sale owner Fed up kwamba mtanzania hutakiwi kumwambia reason ya kuonyesha una shida vinginevyo atakushusha chini kama ananunua pikipiki kisa umemwambia una shida na ndio maana nikamwambia humu JF wengi huwa wana reason hiyo (based on previous experience) though wakati mwingine si lazima mtu ajue kwanini unauza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…