dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #21
Duh! Muuzaji anakuwa na majibu gani mkuu? Hivi unajua na wewe sio mnunuzi?
Wewe sio muuzaji kwa majibu unayoyatoa
Wewe sio muuzaji kwa majibu unayoyatoa
Mkuu bei ya Alteza ndio hyo ila kama una hela hiyo njoo nikuuzie kilkuu yaani Suzuki Cary iko kwenye good condition
Kirikuu hapana mkuuMkuu bei ya Alteza ndio hyo ila kama una hela hiyo njoo nikuuzie kilkuu yaani Suzuki Cary iko kwenye good condition
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unitumie picha za hyo kirikuu inbox!Mkuu bei ya Alteza ndio hyo ila kama una hela hiyo njoo nikuuzie kilkuu yaani Suzuki Cary iko kwenye good condition
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo na m5 nikuuzie Tezza kali.Mbona Usukani umekwajuka hivyo!??
Au ndio hiyo ilipata ajali hapo kwenye avatar yako..
Kula4.5 iyo gari
okay utatumia muda gani?