Gari inauzwa Suzuki Carry 4WD

Gari inauzwa Suzuki Carry 4WD

Ndamwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2008
Posts
244
Reaction score
177
Habari wakuu, kuna gari inauzwa imeingia nchini wiki iliyopita aina ya SUZUKI CARRY 4WD, MANUAL TRANSMISSION, 4 speed, iko Dar, bei maelewano kuanzia Mil.7.5 tu iliyoingiziwa. mmiliki amehamia ghafra mikoani ambako matumizi yake hayapo. Anayehitaji piga cm 0758170507
 
Lakini umefanya utafiti wa kujua bei ya hizi gari ktk yard au gari yako ni less than 20,000km?
 
Habari wakuu, kuna gari inauzwa imeingia nchini wiki iliyopita aina ya SUZUKI CARRY 4WD, MANUAL TRANSMISSION, 4 speed, iko Dar, bei maelewano kuanzia Mil.7.5 tu iliyoingiziwa. mmiliki amehamia ghafra mikoani ambako matumizi yake hayapo. Anayehitaji piga cm 0758170507
kweli mkuu? au gari imekuja ikiwa na tatizo?
 
Gari haina tatizo lolote waweza kuitembelea na kuikagua kwa muda wako kwani iko Dar. Ina Km 59,000 zilizotembewa.
 
Toka Mwaka November 2013 hadi leo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom